Kuongeza internal memory.

Kuongeza internal memory.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Naomba mwenye uelewa anielekeze jinsi navyoweza kuongeza internal memory kwenye simu.
 
Internal Memory ipo embedded kwenye motherboard, hivyo siyo rahisi vile kuongeza.
 
Ni kwa kununua simu nyingine yenye internal memory kubwa.
 
Naomba mwenye uelewa anielekeze jinsi navyoweza kuongeza internal memory kwenye simu.

Its possible.
Kwanza ni lazima u root simu yako.
then uweke link2sd app kutoka playstore.
Uifanyie partition sd card then then sd card itatumika km internal memory
 
Its possible.
Kwanza ni lazima u root simu yako.
then uweke link2sd app kutoka playstore.
Uifanyie partition sd card then then sd card itatumika km internal memory
Tatizo ya SD CARD zipo slow na siyo kweli kama unaongeza ram ila unatengeneza swap area kwenye sd card and since sd card zipo slower kuliko RAM hutaona noticeable performance ya simu yako.
 
Kk naomba unifahamishe ku root cm ndo vipi kk naomba unijuze
Natanguliza shukrani kk
 
Back
Top Bottom