Canivor
Senior Member
- Aug 8, 2018
- 108
- 102
Doh poleni sana ndugu zanguTbc muda woooote kusifia habari za ccm sijui hawana habari,
Doh poleni sana ndugu zanguTbc muda woooote kusifia habari za ccm sijui hawana habari,
Ms
Msaada please npo na dstv nataka kuondoa tbc maana ndo imebaki na ndo channel ya mwisho kuipenda kuliko zote, nataka kublock hiyo tbccm
Pole yetu ya Nini....[emoji15] [emoji2]Doh poleni sana ndugu zangu
toPole yetu ya Nini....[emoji15] [emoji2]
Sasa kama umeiblock wewe tatizo lipo wapi kwani watz wote wapi sawa na wewe kimtizamo.Kwa hio wewe hawa wenye decorder ulitaka waendelee kutunyonya tu.au unamgao na Dstv?Mabadiliko ya hivi sasa kuondoa TV channels baadhi au zote kwenye visimbusi vya DStv na Zuku kumenifurahisha saaana.
Binafsi, nilikuwa nakerwa na taarifa za habari na matukio ya tv hizo hususani, zinapo toa taarifa za jiwe na taasisi zake. Hapo awali niliacha kutazama tv ya taifa na media zote za serikali kwa sababu hiyo.
Nilipoona hata tv stations nyingine nazo ziko kwenye mkondo wa misifa kwa mwamba na ngome sikutamani tena kutazama.
Kwa sasa, imebaki hii tv wanayosema ni ya taifa (taifa kwao inamaanisha chama chao). Hii tv kwangu nime"block" haifunguki hadi kwa password nimeipotezea.
Kwa hiyo, nimefurahi kuona kisimbusi chake kimeziondoa, afadhali, nilikuwa nimechoka.
Unafanyaje wangu natamani tbc iende jera mileleHiyo ya taifa hata mm nmeiblock
AsanteeeeChagua my favourite programmes, halafu uchagua zote bila hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetishaaa kupita woteUnafanyaje wangu natamani tbc iende jera milele
Fungua hiyo channel halafu ludi kinyumenyume kama samata halafu upige teke hiyo TV nadhani utakuwa ume block your channel.Nifundisheni kublock..
"Tebizii toifaaaa... Ukueli no uhakikoooo"...Nimeweka sauti ya watangazaji wake.KKkkkkkkkk!TBC taifa..
Ukweli na uhakika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi generalisation huwa zinafanywa na viazi, wapi nimeandika naangalia TBC?Mnaofanana ndo wenye tabia hiyo, Mimi nililie TBC? Over my dead body!
Mabadiliko ya hivi sasa kuondoa TV channels baadhi au zote kwenye visimbusi vya DStv na Zuku kumenifurahisha saaana.