habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Hahahahahaha uwiiiiiHii TV naona kila mtangazaji anafanana na jiwe sjui kwa nini ati.
Hahahahahaha uwiiiiiHii TV naona kila mtangazaji anafanana na jiwe sjui kwa nini ati.
Upo? Lini utatangaza hadharan kuunga mkono juhudiKila mtu hapa atakuja kumuunga mkono mleta mada. Ikija thread ya kulalamika kila mtu atalalamika kwa nini chaneli za ndani zimefungwa, this is Tanzania bwana!!
hivi kwani bado iko "vile vile " kama zamani au wamesha" ingia" na humu??Habari zote tunazipata Jamii Forums......
Where we dare to speak openly, without being called "wachochezi"
umewaza mbali sana mkuu....."Naondoka mie,nimewaletea chuma hiki"
.... na chuma kweli...."Naondoka mie,nimewaletea chuma hiki"
Ccm TV -ndo mana haipendwiMnasema hamtizami TBC ila habari zake mnazipata so inamaanisha TBC ni kama Maji usipoyaoga utayanywa tu...
Ila TBC ina muonekano wa picha mbovu sana... kuchukiwa si kwamba watanzania hawaipendi ila ina Tabia mbaya...
Surely,??? Hku nako kuna BANHabari zote tunazipata Jamii Forums......
Where we dare to speak openly, without being called "wachochezi"
wasiwasi tu! pengine we ni Mtangazaji wa tbc1Sasa kama umeiblock wewe tatizo lipo wapi kwani watz wote wapi sawa na wewe kimtizamo.Kwa hio wewe hawa wenye decorder ulitaka waendelee kutunyonya tu.au unamgao na Dstv?
Nenda kwenye setting, chagua parental care, pg setting, block. Kwa kuanzia password ni 1234. Utaibidili ukihitajiUnafanyaje wangu natamani tbc iende jera milele
Sure , wamekutanika ufipa hapa, bado wanaendeleza kazi yao ya kuwewesekaNaona kama wote wamekutana wa ufipa tu au macho yangu!
Mi naifungia kifungo cha shetani kabisa!Nenda kwenye setting, chagua parental care, pg setting, block. Kwa kuanzia password ni 1234. Utaibidili ukihitaji
Mkuu umenichekesha!Hii TV naona kila mtangazaji anafanana na jiwe sjui kwa nini ati.
Tangu awali hizi stations zilipoanza kuogopa kuandika ukweli na uzazi nimezichukia sana, nitaomba zifunguliwe pindi jiwe aka ng'anga litakapoondoka madarakani.Kila mtu hapa atakuja kumuunga mkono mleta mada. Ikija thread ya kulalamika kila mtu atalalamika kwa nini chaneli za ndani zimefungwa, this is Tanzania bwana!!
Angesema tu nimewaletea "gobole""Naondoka mie,nimewaletea chuma hiki"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi naifungia kifungo cha shetani kabisa!
Mh! mkuu napo humu pamegeuka siku hizi, lazima uongee kwa kuyahesabu na kuyamumunya maneno.Habari zote tunazipata Jamii Forums......
Where we dare to speak openly, without being called "wachochezi"