Mkuu jambo muhimu sio hisia bali facts.Ukiona raisi naye kimya jua kuwa naye ameshaiona na kujionea aibu kuwa yote yako wazi.
Ni wazi kuwa iloshatolewa amri kuharibu kila kilichohifadhi footage zile
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nilipokuwa shule sikuambia ubora wa TESLA kuhusu AC BADALA YA DCKwanza kwa kukusahihisha, jet engine siyo zao LA Germany ni zao LA British.
Pili, siyo CCTV zote zinaweza kuunganishwa na cellphone. Pia Monitor na TV haziweki kumbukumbu za matukio.
Hapa kitu cha muhimu ni hard drive. Watu wanapohoji CCTV camera kuondolewa Wana wasiwasi kwamba ziliondolewa ili kuonyesha kuwa zaidi ya eye witnesses hakukuwa na jinsi nyingine ya kupata ushahidi.
Nikweli wengi hawajui tena wale walio ziondoa ilitakiwa waondoe DVR tu ili watu wasiulize kuhusu CCTV ndiyo maana walio tekeleza ule udharimu. huwa nasema uwezo wao wa kufikiri ulikuwa mdogo sanaMkuu shida yangu ni kwanini watu wengine wanagangania CCTV CAMERA tu,wala sio RECTORDER AMBAYO INAHIFADHI KUMBUKUMBU ZOTE?
It's very unprofessional and unethical to accuse someone without basic cristal clear facts to condemn someone without a proved fact.Keep diging .Nikweli wengi hawajui tena wale walio ziondoa ilitakiwa waondoe DVR tu ili watu wasiulize kuhusu CCTV ndiyo maana walio tekeleza ule udharimu. huwa nasema uwezo wao wa kufikiri ulikuwa mdogo sana
All the guards were removed at the Compound and the said CCTV. question number 1.who were the guards 2.Who was the officer in charge for the guards on that dayIt's very unprofessional and unethical to accuse someone without basic cristal clear facts to condemn someone without a proved fact.Keep dinging .
The officer in charge for that day should knowWas removed by whom?
The plan was to kill... Period. The covering of evidence was never their job. It was a job of someone else... The one who has managed to cover it up and the one who is continuing to cover it up!!!Any one who is committed to do evil he has a plan,but why someone and may be skilled forgets to remove basics exhibit?Until some how is making planned maintenance repair?
FailureNikweli wengi hawajui tena wale walio ziondoa ilitakiwa waondoe DVR tu ili watu wasiulize kuhusu CCTV ndiyo maana walio tekeleza ule udharimu. huwa nasema uwezo wao wa kufikiri ulikuwa mdogo sana
Nikweli wengi hawajui tena wale walio ziondoa ilitakiwa waondoe DVR tu ili watu wasiulize kuhusu CCTV ndiyo maana walio tekeleza ule udharimu. huwa nasema uwezo wao wa kufikiri ulikuwa mdogo sana