Kuondolewa CCTV camera sio mwisho wa nahau

sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
6,098
4,205
Mfumo wa CCTV haukuanza leo,Germany enzi za Nazi ya Adolf Hitler waliubuni,wakautengeza,wakautumia katika harakati ya vita kuu ya pili.

waliutumia kuangalia urushaji wa ndege za kivita yenye jet engine miaka ya 1943.

Ukisema Jet engine ni kitovu au zao la Germany kama ilivyo Diesel engine.
Lakini maendeleo makubwa ya mfumo huo yamewezesha na yanaendelea kutoka analogue hadi digital,na faida zake ziko wazi.

Swali kuu watanzania wanakuwa na mashaka na kuleta sintofahamu ni kwanini CCTV camera zilizofungwa kwenye block ya nyumba za vingunge akina Mh.Tundu Lissu kwanini ziliondolewa MARA BAADA YA SHAMBULIO?

Kama mfumo wake wa CCTV ulikuwa unafanya kazi wakati wa shambulio (Ilikuwa Active),ni wazi Video recorder ilifanya recording ya matukio hayo na KUYAHIFADHI.

Lakini bado kuna Monitor,TV,na Smartphone ambazo zimeunganishwa na recorder,ni wazi watu wengi watakuwa wameshuhudia tukio hilo.

Yanini kuandikia mate hali wino upo?
 
Attachments

  • main-qimg-010ec171b8bb898854605e4bf349eb29.jpeg
    main-qimg-010ec171b8bb898854605e4bf349eb29.jpeg
    38.6 KB · Views: 51
Kwanza kwa kukusahihisha, jet engine siyo zao LA Germany ni zao LA British.

Pili, siyo CCTV zote zinaweza kuunganishwa na cellphone. Pia Monitor na TV haziweki kumbukumbu za matukio.

Hapa kitu cha muhimu ni hard drive. Watu wanapohoji CCTV camera kuondolewa Wana wasiwasi kwamba ziliondolewa ili kuonyesha kuwa zaidi ya eye witnesses hakukuwa na jinsi nyingine ya kupata ushahidi.
 
Hata mimi nilipokuwa shule sikuambia ubora wa TESLA kuhusu AC BADALA YA DC
Si hiyo tu sikuambiwa kuwa University ya kwanza Duniani ilikuwa TUMBUKUTU huko mali.
Japo nilidokezwa wafuwaji wachuma wa kwanza duniani walitotokea Bukoba Tanzania.
 
Tanzania tuna kila aina ya watu wenye ujuzi kwanini tumegeuka the state of speculators badala ya Archmidesa au Plato state?
 
Nikweli wengi hawajui tena wale walio ziondoa ilitakiwa waondoe DVR tu ili watu wasiulize kuhusu CCTV ndiyo maana walio tekeleza ule udharimu. huwa nasema uwezo wao wa kufikiri ulikuwa mdogo sana
It's very unprofessional and unethical to accuse someone without basic cristal clear facts to condemn someone without a proved fact.Keep diging .
 
It's very unprofessional and unethical to accuse someone without basic cristal clear facts to condemn someone without a proved fact.Keep dinging .
All the guards were removed at the Compound and the said CCTV. question number 1.who were the guards 2.Who was the officer in charge for the guards on that day
 
Any one who is committed to do evil he has a plan,but why someone and may be skilled forgets to remove basics exhibit?Until some how is making planned maintenance repair?
 
Any one who is committed to do evil he has a plan,but why someone and may be skilled forgets to remove basics exhibit?Until some how is making planned maintenance repair?
The plan was to kill... Period. The covering of evidence was never their job. It was a job of someone else... The one who has managed to cover it up and the one who is continuing to cover it up!!!
 
Wangetaka kujua kilichorekodiwa(footage), uzuri huwa zinaonyesha na time.
Nikweli wengi hawajui tena wale walio ziondoa ilitakiwa waondoe DVR tu ili watu wasiulize kuhusu CCTV ndiyo maana walio tekeleza ule udharimu. huwa nasema uwezo wao wa kufikiri ulikuwa mdogo sana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom