Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,054
- 71,342
Siasa za Tanzania
Hata NCCR-Mageuzi na CUF walisema maneno unayosema wakati wakiwa chama kikuu cha upinzani.Naiona CHADEMA ikiimarika zaidi, wenye akili watanielewa.
Litaeleweka vyema baada ya chaguzi za viongozi wa chama ngazi mbalimbali.Swali la Dkt. Slaa wamelikataa wengi ndani ya CHADEMA lakini ni swali ambalo linatoa picha halisi kwa sasa.
Siku akiondoka Lissu kwenda CCM ndivyo nami nitakapo kaa pembeni na Siasa.
Ila nyie wengine mwende tu.
SureMkuu kumbuka siasa za Tanzania zina msingi unaochagizwa na maneno yanayosema, ''the winner takes it all AKA zero sum game''
Ni kweli itaendelea kuimarika kwa kuelekea Moshi...wakitokea mtaa wa Ufipa pale kinondoniCHADEMA itaendelea kuimarika hata wangehama wangapi
-hehehe kwani ilani ipi tena ungependa itekelezwe...labda kwa ushauri tuuJiwe ndiye Strongman aliyebaki hivi sasa anayeangamiza upinzani na wapinzani.
Na Sio Udhaifu wa CDM bali ni Nguvu ya Serikali na vyombo vyake. Imeonekana kua Afya ya CCM n Serikali yake inategemea zaidi uwepo wa CDM dhaifu na upinzani dhaifu
Manake hata uko CuF hali ni hiyohiyo. Huwezi sema kuna ombwe la Lipumba.
Wabunge wa upinzani wanajisalimisha tu. Kwasababu hakuna namna; hata Maendeleo huwezi kupeleka tena ukiwa Upinzani.
Na watendaji wa Serikali wanasema haya waziwazi kwenye mikutano hawafichi. Ilani inayotekelezwa ni ya CCM TU.
Labda LissuKosa la chadema ni kumkana Dr. slaa na kumreplace na lowasa....pale ndipo walibugi......
Walikuwa na kila advantage ya kushinda huu uchaguzi kama wangemuacha slaa asimame kama rais.....
Lipumba ambaye alikuwa mwanachama wa chama cha pili kwa ushawishi yaani Cuf alikuwa ameshauza kambi na wanacuf walikuwa bega kwa bega na chadema kuwasapoti....ndio maana walifanikiwa sana katika udiwani, serikali za mitaa na ubunge kidogo.....
Ila sasa wakashindwa kuplay smart kwa hiyo golden chance.....wakauza nafasi ya ushindi na kurudisha mpira kwa timu ya kijani.
So sidhani kama hiyo 2020 hata wamsimamishe nani kama watakuwa na influence tena.....ndio basi tena......
Kiukweli watazamie tu 2025 maana huko at least wanaweza kuweka mambo sawa.