Uchaguzi 2020 Kuona ni Kuamini: Je, Oktoba 28, utachagua nini kati ya unachoona kwa macho kitu cha ukweli kilichopo vs ahadi tupu? Msikilize Masanja Mkandamizaji...

Haya wale wenye imani haba, kwao ni mpaka kuona ni kuamini, oneni, na October 28, fanyeni mambo by doing the right thing!.

P
 
Haya wale wenye imani haba, kwao ni mpaka kuona ni kuamini, oneni, na October 28, fanyeni mambo by doing the right thing!.

P
Pascal natamani kama watu wangeelewa kuwa Magufuli ni zaidi ya zawadi kwa watanzania.
Natamani wale wanaopata heshima ya kufanya nae kazi moja kwa moja wajitume haswa haswa. Asiwepo hata mmoja wa kutumbuliwa.

Mzee Magufuli ametuheshimisha sana. Natamani kukutana nae walau nimpe mkono
 
P, wewe na Masanja mwaongozwa na njaa.
Kwao Masanja (Mchg Mgaya) ni huko Upangwa.
Hakuna hata barabara kakalia kusifia madaraja ya Dar.
Mchungaji aamue kimoja asiwe popo
 

You’re thruthful, lakini jiandae kupokea tani kadhaa za matusi na demeaning language kutoka kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema)!
 
Pole sana,
Acha kujidanganya na hekaya za abunuwas.
Siku Mchungaji Emanuel Mgaya(Masanja Mkandamizaji) akikupeleka kwao Upangwa ndio utapata akili itakayo kufumbua macho.
Upangwa n upangwa na Dar n Dar. Uzuri alichokisifia kipo na kinaonekana. By the way, mmeanza lini kuwa na interest za maendeleo ya vitu na kutaka upangwa napo kupate maendeleo ya vitu?

Halafu kwa taarifa tuu: mtu wa Mungu mchungaji Masanja ni kijana aliyebarikiwa sana mjini na mashambani. Kama Ni njaa nikuhakikishie hana. Uliza uambiwe, yuko vizuri.

Kama yeye anaisifu serikali kwa mazuri iliyoyafanya, mimi ni nani hata ninyamaze?
 
Upangwa n upangwa na Dar n Dar.
HEEE, Upangwa ni kwao.
Maendeleo ya watu ndio maendeleo ya kweli yanayohitajika kwao na kwa yeyote mwenye kwao.
Hayo ndio MTU mkweli anatakiwa kujitoa kuyasifu.
Kusifu sifu tu hata kama jambo halileti maendeleo ya kweli ya watu ili tu kufurahisha MTU ndio njaa yenyewe.
Na ndio imekuwa ugonjwa mkubwa katika miaka hii mitano ya giza.
AMEN
 
2tumeyaona mengi kweli ya akina Alphonce mawazo
Luenda diwan Moro
Akwilin akwilin
Azory gwanda
Simon kaguye
Na mengine mengi
Pascal Mayalla hatutoacha kuchagua haki
 
Kusema ukweli hapo kawachana live Chadema. Chama hakina ofisi eti kitaleta maendeleo! Ahahahahah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…