BabaKasheshe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 211
- 45
Jamani eeh kuna mtu ameniuliza swali nikakosa jibu la moja kwa moja, naomba uzoefu wenu hasa walio ktk ndoa...anauliza ukitaka kufanya sex na mke au mumeo usiku unamwambiaje? Au unarukia tuu na yeye anatajua kua unaitaka?....