ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,748
- 42,218
- Thread starter
-
- #181
Mtu anae kupenda hakunyimi tena anakupa bila kuomba 😘Mtu anaekupenda hakunyimi ukiona umeomba ukanyimwa jua unaemuomba hakupendi temana nae tembea na wanaoukupenda wengine wanakupa bila hata ya kuwaomba wakikuona umepungukiwa hao ndio watu wa kua nao maisha mwako sio wenye viroho vya korosho
Unanipa marks ngapi za kulainikasimba bingwa
Ukiomba omba unafungulia nafasi ya kuwa mtumwa wa huyo unae muomba
Unaomba nini kijanaNa mimi naomba
Betri used unayo?Sasa ni rahisi kumiliki SimuJanja ya itel A50 kwa kianzio cha Tsh40,000 na kulipia Tsh825 kwa siku. Karibu duka la Airtel na kitambulisho chako tuu na Kianzio.
Kulombana na mleta madaUnaomba nini kijana
Safiiiiiii heh huyu jamaa anatisha watu😅Utumwa sio shida zangu, muhimu nipewe..
Sasa ulikuwa unabisha nini?Sasa ni rahisi kumiliki SimuJanja ya itel A50 kwa kianzio cha Tsh40,000 na kulipia Tsh825 kwa siku. Karibu duka la Airtel na kitambulisho chako tuu na Kianzio.
Mie jana dume acha ufirauni 😎Kulombana na mleta mada
Hivyo hivyoMie jana dume acha ufirauni 😎
Kivipi?Unanipa marks ngapi za kulainika
hamna comment nying naona wanaomba penzi 😀Muone huyu 😅
Hebu soma vizuri
Astghafirullah ya rab ninusuruHivyo hivyo
NGOJA NI FORWARD TANGAZO LINGINE ILI NIWAVURUGE ZAIDI.Sasa ulikuwa unabisha nini?
Unatumia itel au?NGOJA NI FORWARD TANGAZO LINGINE ILI NIWAVURUGE ZAIDI.
UnanichoshaKivipi?
TBC ukweli na uhakikaUmekosea sana aloo😅😅