Kuomba kubadilisha kituo cha kazi

makenyee

New Member
Oct 10, 2011
1
0
Habari ma great thinker!Mimi ni mwalimu wa sekondari ya misalai iliyopo Amani katika halmashauri ya muheza hivyo nilikuwa naomba kubadilishana na mwalimu yeyote aliyopo katika halmashauri hizi Kibaha,kinondoni au Mbeya mjini.Naomba ushirikaano wenu kwani huku kuna hali ya hewa nzuri sana.contact 0778136785
 
Hali ya hewa nzuri ni ipi? Joto? baridi? wastani? Sidhani kama itakuwa rahisi kiasi hicho uking'ang'ania kubadilishana. Kama una vigezo si uombe uhamisho wa kawaida tu?
 
Si umesema huko kuna hali ya hewa nzuri sasa inakuwaje unataka kuhama? Pia kama alivyokushauri Gerrard kama unasababu za msingi omba kuhama utafikiriwa. Hata mie nilitoka halmashauri moja ya wilaya kwenda manispaa sikubadilishana na mtu. Kwa sababu kwa ufahamu wangu sio rahisi sana kumpata mtu toka maeneo hayo uliyoyataja. Ainisha pia kiwango chako cha Elimu kwani wanapenda wakubadilishana naye mlingane kielimu.
 
Inawezekana ulipangwa huko kwa kuwa hali ya hewa ni nzuri sana, na vyema ungetafuta wenzako wa Mufindi, Makambako na Tukuyu ambako kuna baridi kali kama huko ulipo!!! ila nakushauri omba ruhusa ya bila malipo kama utakosa mtu wa kubadilishana naye!!!
 
Back
Top Bottom