KUOMBA CHUO RAUNDI YA TATU

KUOMBA CHUO RAUNDI YA TATU

Dr.philosophy

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
122
Reaction score
27
wadau Mimi nimechaguliwa DUCE BED ARTS kozi hii niliweka chaguo no 7 asa ndo nmedondokea hiyo hyo sasa nilkuwa naulza.he nkiomba tens vyuo vingine itakuwaje apo badae hasa kwenye suala la mkopo? ushauri tafadhal
 
Duh mkuu yan ww unataka kujichanganya mwenywe mkuu yan kwa udahili wa sasa ukipata unashukuru na mungu mkuu kwa vyuo km udom udsm na mzunbe .ww haujiulizi kwann wamekuchukua choice ako ya 7 mmmmh subir wanajamvi waje mkuu wenda utapata ushauri mwngne mzuri zaidi ya huu
 
Yaani husidhubutu kujichanganya subiri ukifika chuoni utaangalia kama kuna uwezekano wa kubadili faculty Maana hsli ya sasa wengi wamekosa round zote mbili ushindani n Mkubwa kama umepata shukuru mungu
 
asante kwa ushaur wako mkuu
 
Yaani husidhubutu kujichanganya subiri ukifika chuoni utaangalia kama kuna uwezekano wa kubadili faculty Maana hsli ya sasa wengi wamekosa round zote mbili ushindani n Mkubwa kama umepata shukuru mungu
dah naanza kuelewa sasa kwann watu hawasomi vile wanavyovipenda.na mm nadhan naenda kuwa mmoja wao
 
Yaani husidhubutu kujichanganya subiri ukifika chuoni utaangalia kama kuna uwezekano wa kubadili faculty Maana hsli ya sasa wengi wamekosa round zote mbili ushindani n Mkubwa kama umepata shukuru mungu
Kubadili faculty!!!???
Na ww upo Chuo kikuu??
 
afadhali we umechaguliwa kozi usiyoipenda, me nimeangukia pua awamu zote 3.
 
Bora kuahirisha mwaka usubiri mwaka mwingine kuliko kusoma kitu usichohtaji
Yaan kwa miaka hiii kupata chuo imekuwa n vigumu sana hivyoo akiachia hi I nafasi atapoteza muda na malengo yake
 
Anaweza kuahirisha na mwakan yakawa yaleyale kila mwaka compititn inaongezeka
Tulioacha mwaka Jana bado tunazd kuhesabu round tu... Now Tupo ya tatu na furaha haijarejea..... Imenibid round hii nkasome hta theatre art babek
 
aisee bora hata mfumo wa mwaka jana,mwaka huu ni balaa tupu
 
mambo ni moto hapo katika ilifikia hatua ikaanza kujengeka dhana kuwa kukosa chuo ni kitu hakiwezekani sasa baada ya vyuo kuanza kufungwa na vingine kuzuiliwa udahili naona mambo yameanza kuwa kinyume sasa maana mwaka huu kupata chuo imekuwa stress mtu unaomba raundi zote 2 chali umebaki na karata moja tu na hiyo ikizingua majanga...
 
Back
Top Bottom