Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
unamjua bazazi wewe?
Ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Hebu jaribu kuuliza kisha utaambiwa!
simjui na sihitaji kumjua baba paroko
unamjua bazazi wewe?
Ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Hebu jaribu kuuliza kisha utaambiwa!
Hayo mambo ndio yanatufanya wengine tuogope kuolewa unamtii mumeo na kumsikiliza kila anachosema hata kama amekosea anakuonea wewe unakuwa passive mh! ni kazi kwelikweli
kuolewa ni kumsogezea huduma za kimwili mwanaume.
Mpendwa; kwa uelewa wangu kuwa life imegawanyika kimafungu:- utoto, ujana, utu uzima, uzee.....Kuolewa kuna maana gani?
Mwanaume anaposema 'siwez kupika (mfano) kwani mi ndo nimeolewa?'
Does it mean kuolewa haina tofauti na kua mtumwa wa mwanaume?
Does it mean wanaume wanaoongea hayo hawajui maana ya kuoa?
What does kuolewa mean?
Hakuna kutongoza tena
Bye bye utongozaji.
Bazazi
Kuolewa kuna maana gani?
Mwanaume anaposema 'siwez kupika (mfano) kwani mi ndo nimeolewa?'
Does it mean kuolewa haina tofauti na kua mtumwa wa mwanaume?
Does it mean wanaume wanaoongea hayo hawajui maana ya kuoa?
What does kuolewa mean?
simjui na sihitaji kumjua baba paroko
Ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Umeanza vituko vyako
Umejuaje huhitaji kumjua?
niambie basi ni nani huyo!!!!!!!
Ulivyoniambia "niambie basi"
Nimepata hisia kali sana
Nahisi kama vile ........
Muone unatabasamu nini sasa?
Umeenikumbusha kitu
Ngoja kwanza........!!!!!!!!!
kwani mnaridhikaga nyie?
toa mahari 50/50 ili 'tuoane' lolNdo maana mimi kuolewa sitaki, nataka KUOANA!!!!!!!!!!! LOLEST!
she gets the best of both worlds. pia hapati karaha za ndoa' yeye kila siku ni 'honeymoon'kibongo bongo wewe ukubali kuwa nyumba ndogo ya some rich guy ndo uta enjoy
sababu hataweza kukuchunga....wala kukuganda
atakujali kama mke at the same time una uhuru wako...
are u in?
Kuna wakati nilikuwa nazungumza na Mr Rocky hapa na nilimuambia kuwa kwenye ndoa kunahitajika kila mtu ajue majukumu yake,hapo ndoa itakwenda angalau salama kidogo
Siku hizi watu hawajui hata ni kwanini wanaolewa na haya maswali yako yanadhihirisha hilo na sijui kama ukiolewa na mtazamo wako huu hiyo ndoa itakuwaje
Masuala ya kindoa ni magumu hasa kwenye ulimwengu huu usiokuwa na kiasi wala mipaka
Wakati Mungu alipomaliza kuwaumba hawa viume aliwapa majukumu na aliwaambia namna ya kuishi,najua na nye alijua kuwa hakuna maisha ambayo yataweza kwenda hivi tu bila kugawana majukumu miongoni mwa wale wanaoishi pamoja
Pia hakuna pahala popote ambapo watu wanakwenda tu bila kuwa na mtu mwenye kauli ya mwisho,yaani hakuna mahali ambapo watu wanaishi pamoja halafu kila mtu anaamua jambo kama vile atakavyo,haipo na haitakuja kuwepo milele
Kwenye suala la ndoa nalo ni hivyo pia
Mwanamke na mwanaume wapo tofauti kimaumbile,kimaumbile mwanamke ndie huishi na mtoto kuanzia anapozaliwa na hata kabla ya kuzaliwa yeye ndie hubeba ujauzito,hivyo kwa sababu hizi za kimaumbile mwanamke ndie hulazimika kuishi na watoto kwa ukaribu kwa muda mrefu atake asitake ndivyo ilivyo,sasa kuishi na watoto ni pamija na yale yanayowahusu hao watoto
Majukumu yanayomuhusu huyu anaetakiwa kuishi na wtoto muda mrefu nimengi lakini kwa uchache ni haya yafuatayo,huwezi kuishi na mtoto halafu asile.asivae huko kuvaa kunaendana na kufua pia,kuoga n.k
Mtu mwenye majukumu hayo analazimika awe yupo nyumbani muda wote ili aweze kuyatimiza hayo majukumu itakiwavyo,sasa kama huyo anatakiwa awepo nyumbani muda wpte ili atimize majukumu hayo ipasavyo kunatakiwa awepo wa kutafuta hela kwaajili ya manunuzi ya hayo mahitaji ya hiyo familia,hapo ndipo yule asiehitajika kimaumbile kukaa na watoto muda wote anapotakiwa kwenda muyatafuta hayo mahitaji
Hapo ndipo unapouja mgawanyo wa majukumu na ndipo iipokuja kuonekana kuwa kuna kazi za kike na kazi za kiume chimbuko lake hi hayo,suala la wewe kutaka mumeo akuoshee vyombo au akupikie sijui wewe utakuwa unafanya nini,sidhani kama kuna mwanamke mwadilifu ambae atataka mumewe apike halafu yeye akae tu
Jukumu la kutafuta mahitaji ni la mume kimaumbile na kiasili,leo kuna wajinga tu wanataka kulibadili hili ndio maana kuna matatizo mengi sana ya kimalezi kwa watu leo hii
Kama wewe utakuwa unafanya kazi bado sio kigezo cha kutokuyafanya majukumu yako kama mke na wala huo sio utumwa na haijawahi kuwa hivyo!
nionavyo mimi, ndoa maana yake ni MAELEWANO...kama mnaelewana hakutakuwa na ishu km ooh kwani mimi nineolewa, etc,....mnapoelewana kila kitu kinakwenda automatically mfano kupika, automatically mke unajikuta uko huko unafanya shughuli hizo, laa km unaumwa basi bado ni MAELEWANO ndo yatakayomfanya mume asaidie kazi hiyo...so hapo nionavyo mimi, suala kubwa ni MAELEWANO tu..lolote linawezekana.
inabidi tuchunguze kati ya wazungu na waafrica nani ana afadhari kwenye ndoa tutajua kama tudumishe mfume dume au la