Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Unajua tofauti ya kiongozi na dikteta?kuna vitu huhitaji kauli ya mwisho lakini isiwe wewe tu ndo wa kutoa kauli ya mwisho. kuna wakati mwenzio akawa na mawazo ya kujenga zaidi kuliko yako lakini kwa sababu ya kuwa na "kauli ya mwisho" mkaangamia. mume au mke anaweza kutoa kauli ya mwisho kuwa watoto wa kike wasiende shule..... kiwanja kisinunuliwe mwaka huu......lazima tuzae watoto watano.... n.k bila sababu za kuridhisha kwa kila kauli. hali hii haikubaliki ktk jamii
Unajua nini kuhusu "kauli ya mwisho"?
Sina hakika kama umeelewa nilichokuwa nakiandikakwa nini kusiwe na majadiliano? kuna wanaume wengine hawana busara na hekima. wakiwa na kauli za mwisho itakuwaje?
kuna wanawake wengine busara na hekima zao zinawatosha wenyewe. nao wakiwa na kauli za mwisho tutafika?
Hebu jibu maswali yangu hapo juu kisha nijue namna kukuelewesha kuhusiana na ulichokiandika!