Wako watu wanaosema ndoa ndoano
kwamba ndoa ni msalaba na mengine ya kuponda.
Acheni niwatajie baadhi ya raha za kuolewa!
Ukiolewa kwanza unapata kibali cha kuwa na mpenzi wako kihalali.
Raha zako ni halali! Huhukumiwi na mtu yeyote tena.
Pia unapokuwa na mume una uhakika wa ulinzi kwa maana una pa kukimbilia.
Hakuna mtu atakutishia kwa lolote. Una uhakika wa kupata msaada wakati wowote.
Ukiwa na mume unaweza kujijaribia mambo mengi kama huyo mume ni mtu mwenye
uelewa na mwenyewe msaada. Waweza kuondoka kazini ukaenda masomoni na ukajua
hutaishiwa au kupungukiwa.
faida ziko nyingi sana ............. kwa wanawake wenye kufurahia ndoa hebu nanyi elezeeni mnavyofurahia
ndoa zenu!
Waume zetu mpoooo??[/QUOTE]
Tupooooooooo...............

Waume zetu mpoooo??
Igwe huo mguu mmoja uingize ndani kwani ukiwa mmoja nje mmoja ndfani hueleweki
Ndoa tamu bana asikuambie mtu
tb ni kwa nini mkuu utamjua aliyeolewa juzi. Yaani bado ile misukosuko hajaiona eehh
Mkuu Igwe kwani mpaka leo hujamuona wa kulingana na wewe au kufanana fanana na wewe. Kwani hujawasoma hawa viumbe ukawaelewa. Kwani hujajua namna ya kukaa nae maana mpaka maandiko yanasema tukae nao kwa akili. Mkuu ukimchunguza sana bata hutamla kaka
tupo na nimekupata kwa nguvu ya tano. Je raha ya kuoa? Mbona wapendelea?? Je unamtii mumeo?wako watu wanaosema ndoa ndoano
kwamba ndoa ni msalaba na mengine ya kuponda.
Acheni niwatajie baadhi ya raha za kuolewa!
Ukiolewa kwanza unapata kibali cha kuwa na mpenzi wako kihalali.
Raha zako ni halali! Huhukumiwi na mtu yeyote tena.
Pia unapokuwa na mume una uhakika wa ulinzi kwa maana una pa kukimbilia.
Hakuna mtu atakutishia kwa lolote. Una uhakika wa kupata msaada wakati wowote.
Ukiwa na mume unaweza kujijaribia mambo mengi kama huyo mume ni mtu mwenye
uelewa na mwenyewe msaada. Waweza kuondoka kazini ukaenda masomoni na ukajua
hutaishiwa au kupungukiwa.
Faida ziko nyingi sana ............. Kwa wanawake wenye kufurahia ndoa hebu nanyi elezeeni mnavyofurahia
ndoa zenu!
Waume zetu mpoooo??
kwani Boss mkeo anajuta kuolewa nawe?
kaka ninae,...anaonekana yuko poa lakn ngoja kidogo mkuu,..si umeona watu humu ndani wanavyoleta matatizo kila kukicha_wengine wakuja kuambiwa hawapendwi baada ya kupita miaka 5,.....uuuuuuuuuuuuh!...puuuuuuuuuuuuuf

kabisa.....

Sio bure bure tu unaona walio kwenye ndoa wanapotamani wasinge ingia

yamewakuta......