Kama kawaida yako wiliyeye, hahahahahah! unanifurahisha sana huishi kutapatapa , sasa umekuja na kabila , haya tunasubiri kesho utakuja na nn.
Ingawa mm najua kabila, dini haiingiliani na mapenzi.
Hapana wiliyeye, usiingie kwenye ndoa na Mizani ya Adam, nina maana gani usiangalie ndoa ya mwenzio ukafananisha na ya kwako, au ya wazazi wako ukataka na wewe yako iwe hivyo la hasha kaka yangu, Ndoa ni kama nchi na wewe mume ndiye Rais( kichwa cha Nyumba) sasa unatakiwa kwanza uwe strong, pili uwe na maamuzi magumu na mepesi, Tatu penda familia yako no matter what happen inside of ure house.Sio kwamba natapatapa, ila naona wenzangu wana furaha sana na ndoa zao. Nilipochunguza nikaona wengi wameoa kwao au mikoa ya jirani ambayo wanaelewana lugha.
Sio kwamba natapatapa, ila naona wenzangu wana furaha sana na ndoa zao. Nilipochunguza nikaona wengi wameoa kwao au mikoa ya jirani ambayo wanaelewana lugha.
Lugha si mtu anajifunza tu? Sifikirii kwamba kinacholeta raha ni lugha mnayozungumza. Mimi nafikiri kinacholeta raha zaidi ni kile mnachokizungumza! Kwani kuna raha yoyote kutukanana kwa 'kilugha'?..Mi naona ndoa za wale ambao waliolea kwao au mke na mme wanatoka Mkoa mmoja naona wana raha zaidi kuliko sisi tuliooa makabila mengine haya...
Lugha si mtu anajifunza tu? Sifikirii kwamba kinacholeta raha ni lugha mnayozungumza. Mimi nafiki cha kinacholeta zaidi ni kile mnachokizungumza! Kwani kuna raha yoyote kutukanana kwa 'kilugha'?