Kuokoa Polisi, kuwe na Kamishna wa Siasa

Mkuu hebu tupe elimu kidogo kuhusu hao watu. Sisi wengine hatujawahi kuwasikia

johnthebaptist

..wakati wa mfumo wa chama kimoja kulikuwa na matawi ya chama mitaani, na makazini.

..kwa hiyo sehemu ya kazi kama mashirika ya umma kwa mfano, Tanesco, Tbl, NBC, etc etc kulikuwa na matawi ya CCM.

..Na matawi hayo ya CCM yalikuwa na viongozi wake, tofauti na management. wafanyakazi wote wa shirika / kampuni husika walikuwa wanachama wa CCM.

..sasa yako baadhi ya mashirika na makampuni ambayo Mwenyekiti wa chama / CCM alikuwa na uwezo wa kupingana na DG au GM ktk maamuzi mbalimbali ndani ya shirika / kampuni.

..Kwa mfano, iliweza kutokea DG au GM anataka kufukuza mfanyakazi mzembe lakini Tawi la CCM likaingilia kati na kuzuia maamuzi ya management.

..Wakati mwingine CCM ilikuwa ikipitisha maazimio yake ya kisiasa, kwa mfano kuhusu michezo, basi maamuzi hayo yalitekelezwa na mashirika / makampuni kupitia matawi ya chama.

..CCM ilipopitisha azimio kuhusu michezo mashirika na makampuni ya umma yalilazimika kuanzisha timu za michezo mbalimbali.

..Utaratibu huo pia ulikuwepo ktk MAJESHI yetu. Nakumbuka, kwasababu nimepitia JKT, kila kambi lilikuwa na tawi na uongozi wa chama.

..Majeshi yetu yalihesabika kama mojawapo ya jumuiya za chama / CCM. Pia Kamisaa wa siasa jeshini alikuwa ndiye kiongozi wa tatu kwa ukubwa ktk JWTZ.

..Kulikuwa na Mkuu wa majeshi CDF, akifuatiwa na Mnadhimu mkuu CoS, na wa tatu ni Kamisaa wa siasa jeshini. Kama sijakosea kamisaa wa siasa wa mwisho wa JWTZ alikuwa Major General Abdalah Said Natepe.

..Tulipoingia ktk mfumo wa vyama vingi ndipo CCM ilipoondolewa ktk taasisi za umma, jeshini, etc etc.

..Makamisaa wa chama waliokuwa ktk vyombo vya ulinzi walitakiwa wachague siasa au kuendelea na jeshi. Baadhi yao kama Lt.Col.Jakaya Kikwete, Captain.Jaka Mwambi, Captain.Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, waliamua kuachana na jeshi la kujikita ktk siasa.

..Nadhani maelezo yangu yamejibu maswali uliyokuwa nayo.

Cc Pascal Mayalla, Retired, Nguruvi3, Pohamba
 
Mkuu nashukuru sana kwa hili somo murua ambalo nina uhakika litakuwa limefaidisha wengi. Kweli JF ni hazina ya maarifa.🙏🙏🙏
 
Uko sahihi kabisa . kama ulivyoeleza ndio ulikuwa utawala wa nchi hii... miaka ya 70s-80s
 
Back
Top Bottom