Kuogopana kwa Watanzania nchini Marekani

Kuogopana kwa Watanzania nchini Marekani

Hapana, hii ni Amazon Prime within US. Nimeagiza sasa hivi hapa tulivyoongea inafika kesho kwangu.

Juicing kawaida huwa inaharibu enzymes hii ni slow juicer.
Chuma kime simama mkuu, kiufupi ni top notch.

Mchawi matunda tu, na uwezo wa mnywaji kunywa kweli kweli.
 
Ni kweli, nilikutana na Kiranga kachoka kinoma
Namnukuu Kiranga

I could negate every aspect of this story, personally.

But why bother?

Like really, why?

Why spend my precious time on such frivolous gossip while I could be doing more productive things or even just relaxing on a weekend, exercising, catching up with family and friends, protecting my mental health from mindless online chatter, making power moves.
 
Kuna kijana mmoja hapa ana juicer ya kawaida sasa hivi nimemu upgrade, atafurahi sana.

Hili juicer huhitaji hata kukata matunda unayatupa tu mazima linafanya kila kitu.

Slow juicing.
liko vizuri sana, hapo una subiri epl match.

Huku lenyewe lina maliza kazi yake,

Na kumenya maganda je?
 
liko vizuri sana, hapo una subiri epl match.

Huku lenyewe lina maliza kazi yake,

Na kumenya maganda je?
Unaamua mwenyewe kama utataka kumenya.

Lakini naona watu wengi, kwa matunda ambayo maganda yake yana virutubisho fulani, mfano apples, wanaweka tunda zima, halafu jicer yenyewe ina separate fiber na juice.

Ila kama.hupendi ladha ya maganda unaweza kumenya pia.
 
Iko vizuri, kiufupi ume tisha.

In other news, niko naangalia mission impossible: final reckoning.
 
Back
Top Bottom