Kuoga na kuvaa

Bado unavaa Chupi mzee
 
No singilindi Haha haha πŸ˜‚πŸ˜‚
Bado kidogo mzee jitahidi
 
Kwa maelezo yako umekosea kutoorodhesha vifaa vya kazi,hapo najuwa hukosi dodoki,jiwe la kusugulia miguu,na shampoo hata kama una kipara.Sema mali sana kuwa msafi,hongera mkuu.
 
Kwa maelezo yako umekosea kutoorodhesha vifaa vya kazi,hapo najuwa hukosi dodoki,jiwe la kusugulia miguu,na shampoo hata kama una kipara.Sema mali sana kmsafi,hongera mkuu.
nishajibu vizuri sana we soma utaona japo vingi ulivyotaja hapo situmii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…