Kuoga na kuvaa

Hizi
 

Attachments

  • 1744446903472.jpg
    345.6 KB · Views: 19
  • 1744446899542.jpg
    338.3 KB · Views: 11
  • 1744446895552.jpg
    283.5 KB · Views: 12
Njia nzuri ya kufanya shati ikae vizuri,ni kuvaa huo mkanda ambao unaitwa shirt tucker belt
 

Attachments

  • 81Y2SM9XNWL._AC_UY1000_.jpg
    97.9 KB · Views: 16
Hii kiboko, hiyo chupi ina ukubwa gani wa kuweza kuhimili shati? Ninavyojua hizi zetu unaweza kuchana lesi 😹😹😹
nahisi hujaelewe,chupi za kiume ambazo zinaweza kuwa ni briefs au boxer,sasa ukiishaivaa,unavaa shati,sasa unachomekea hiyo shati ndani ya chupi au kwa kiingereza una tuck in na inabanwa vizuri na lastic ya chupi kiasi ambacho haichomoki,nitakuonesha kwa picha
 
Umeeleweka mzee wa kuchomekea shati kwenye chupi
 
angalia jinsi ambavyo shati linavyochomekewa kwenye chupi
 

Attachments

  • 5944fc1b7fc614e1256efaaf3bbe79a0 (3).jpg
    71.6 KB · Views: 15
kwa vijana na wazee mnaotaka kujifunza kuvaa watembelee ukurasa wa rhodes woods kule tiktok
 
Huwa natamani sana kuvaa vizuri, ila sasa namtambishia naaani?
 
Huwa natamani sana kuvaa vizuri, ila sasa namtambishia naaani?
sio kumtambia mtu bali ni kuwa nadhifu,uwepo kazini,kuna nguo zake,uwapo matembezini kuna nguo zake,uwapo kwenye mazishi kuna nguo zake,uwapo safari kuna kuna nguo zake,vaa kwa unadhifu wako sio kwa kumtambia mtu,but unapoenda kwa demu ambae ndio mara ya kwanza kukutana nae dress to kill
 
Ila kweli, ubaya mimi kumpenda mtu mpaka nikae nae zaidi ya mwezi, hapo c tayari kashajua uvaaji wangu?
 
sawa lakini kuvaa ukiwa kazini je?
Sijafkia hiyo level, lakini nitavaa vyema hata nikiwa nyumbani nikifika huko.
Hata sasa sio kwamba sivai vizuri, ila ni vile navaa shat tatu kwa week, kila moja siku mbili, suruali mbili kwa week kila moja siku tatu
 
Sijafkia hiyo level, lakini nitavaa vyema hata nikiwa nyumbani nikifika huko.
Hata sasa sio kwamba sivai vizuri, ila ni vile navaa shat tatu kwa week, kila moja siku mbili, suruali mbili kwa week kila moja siku tatu
Hoja ya nguo ngapi sio muhimu,bali muhimu ni nguo ipi niivae wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…