Nishuhidie jinsi watu walivyo maana kama mtoa post alivyonichanganya staili yake ya maisha.. napiga picha hapa Kasangezi, Kasulu h7yo jamaa anaweza survive hata wiki😂
Ili shati likae vizuri kwenye suruali,vinginevyo ni lazima uwe na mkanda maalumu ambao hufungwa kwenye shati ili lifiti kwenye mwiki lisiwe linachomoka chomoka,na kwa taarifa yako hii staili nimejifunza kwa waziri mkuu wa zamani wa uingereza john major
madodoki huwa situmii,pia situmii liquid soap,natumia sabuni ya imperial tu,kwa kuosha miguu hasa kwenye unyayo ndio natumia kipande cha nyavu ya samaki nimekikata,nasafisha unyayo ila kwenye mwili natumia sabuni tu
Nimemjibu kila mmoja kwa staha na kwa maelezo ya kina,pia kwa wale msiofahamu passion yangu ya usafi someni uzi wangu niliouandika kuhusu usafi wa washroom yangu,mtajifunza mengi.Alamsiki
Nishuhidie jinsi watu walivyo maana kama mtoa post alivyonichanganya staili yake ya maisha.. napiga picha hapa Kasangezi, Kasulu h7yo jamaa anaweza survive hata wiki😂
Hiyo mnamjibu ni Mzee wa makamo.zamani wanaume wallikua wanavaa chupi,na Kuna chupi za kike pia.hata Sasa ujio wa boksa zile za kubana,wengi hawazielewi bado wanavaa chupi na zipo madukani zinauzwa.na ni nzuri kuliko haya maboksa yenu yanayolegea.
Hiyo mnamjibu ni Mzee wa makamo.zamani wanaume wallikua wanavaa chupi,na Kuna chupi za kike pia.hata Sasa unio wa boksa zile za kubana,wengi hawazielewi bado wanavaa chupi na zipo madukani zinauzwa.na ni nzuri kuliko haya maboksa yenu yanayolegea.