Kuoa ni kujilipua ujasiri unahitajika

Nilivyoelewa J ni domo zege, kaona ajiokotee mpira uliokufa.

Na je, hapo urafiki/ukaka bado upo? Maana hapo itabidi aishi kwa kuwaza kwamba kiporo kitapashwa.
 
Sikuona aseeh.... Vijana wa humu zimewaruka.

Ila mambo ya humu nayachukulia kawaida tu. Shukrani kwa kunijulisha.
Me nikajua uliuona.Anyway potezea kaka.Tuendelee ku enjoy Kwa namna tunataka humu ndani.
 
ngoja kwanza kwani mwanamke na shetani si walipiga stori
kwa hiyo ni marafiki
Hahahaaaa!! Hapana, ni maadui wakubwa sana tangu amdanganye mwanamke. We unadhani kuzaa kwa uchungu na kutawaliwa na mwanaume mchezo!!!
 
Back
Top Bottom