KUOA MWANAMKE MUUZA BAR/PUB

Bado unanwita mke?
 
Analala na mafaili kitandani mkuu?
 
Write your reply...single bell! single bell ! single all the way what's so funny to see couples fight all the day
 
pole saana mkuu,najua utaumia sana kwa michango ya wanaJF,ila ukweli utabaki kuwa ukweli.
mwanamke akishaanza kuingiza kipato hasa ktk biashara hizo na yeeye ndiye mmiliki wa pub ni hatari sana kwa afya ya ndoa/mahusiano yako. ni bora angekuwa muajiriwa yaani bar med,kuliko kuwa yeye ndiye owner.
machungu na mapenzi yote jkahamishia kwenye hiyo biashara na ni ngumu sana tena sanakuitofautisha biashara na wateja wake.
hapo wewe ni ngumu sana hata kwenda sababu wateja wa bia /pombe ni wanavutika kwa mambo zaidi ya bia wanazonunua na mfano halisi angalia bar hii leo inajaza keshokutwa inapwaya ujue wateja wameshakula mbegu zimeisha sasa wanahamia mti mwingine wenye matunda mazuri. so,hata huyo shem bado anajiona anapendwa,sasa akishaliwa liwa wakamhama hao wateja atajikuta mteja uliyebakia ni wewe tu.
sasa,amua kati ya haya MOJA ,tumia uanaume wako kuifunga hiyo bness,PILI,amua kukaa tu kimya liwalo na liwe na TATU,shirikisha kikao cha wanandugu au mshenga au kiongozi wa imani yako ,mkikosa suruhu tenganeni kwa muda...maana kitakachofuata hapo ni kupeana maradhi...
haya mambo tunayaona sana mtaani huku...hilo ni pigo mkuu
 
Mke kawa mali ya umma[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Asante Sana mkuu,nimekupata vyema
 
Na Bado unajihesabia una ndoa
 
Muombe mkae chini muongee nani atabaki na watoto na jinsi mtakavyowalea maana hapo ndoa haipo
 
1. Wewe huwa unatimiza mahitaji yake yote muhimu ya kifamilia?
2. Unaingiza TSH ngapi kwa mwezi?
3. Je alikuwa anafanya nini kabla hujamuowa?
4. Umeshauriana na wazazi wake juu ya hili suala kwa walezi au wazazi wake?
5. Unahisi anazini anapokuwa anauza pombe?
Naomba ujibu hayo maswali ili nikushauri
 
Vituko vyote halafu unauliza ushauri we sio mwanaume kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…