pole saana mkuu,najua utaumia sana kwa michango ya wanaJF,ila ukweli utabaki kuwa ukweli.
mwanamke akishaanza kuingiza kipato hasa ktk biashara hizo na yeeye ndiye mmiliki wa pub ni hatari sana kwa afya ya ndoa/mahusiano yako. ni bora angekuwa muajiriwa yaani bar med,kuliko kuwa yeye ndiye owner.
machungu na mapenzi yote jkahamishia kwenye hiyo biashara na ni ngumu sana tena sanakuitofautisha biashara na wateja wake.
hapo wewe ni ngumu sana hata kwenda sababu wateja wa bia /pombe ni wanavutika kwa mambo zaidi ya bia wanazonunua na mfano halisi angalia bar hii leo inajaza keshokutwa inapwaya ujue wateja wameshakula mbegu zimeisha sasa wanahamia mti mwingine wenye matunda mazuri. so,hata huyo shem bado anajiona anapendwa,sasa akishaliwa liwa wakamhama hao wateja atajikuta mteja uliyebakia ni wewe tu.
sasa,amua kati ya haya MOJA ,tumia uanaume wako kuifunga hiyo bness,PILI,amua kukaa tu kimya liwalo na liwe na TATU,shirikisha kikao cha wanandugu au mshenga au kiongozi wa imani yako ,mkikosa suruhu tenganeni kwa muda...maana kitakachofuata hapo ni kupeana maradhi...
haya mambo tunayaona sana mtaani huku...hilo ni pigo mkuu