Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
Wewe sio mwanaume,unapelekeshwa na mwanamke,wewe ni mwanamke mwenzake tu
...nyege...nyegezi...Mke amefungua pub bila kunishirikisha na anauza mwenyewe kama bar maid nyumba imewaka moto Sababu mke amekua jeuri na kiburi,so aggressive hakuna unachouliza ukajibiwa kistaarabu. Kila mteja anayeenda pale akiomba namba anapewa tu bila shida yupo bize muda wote ni pub pub na `wateja wake" kama anavyowaita hajali familia wala ndoa tena nyumba,chumba chakulala kimekua km stoo kitanda ndio usiseme hajali na imefikia hatua naambiwa nisifike hata kwenye biashara yake sababu namfukuzia wateja wake.
Tupo kwenye ndoa yakikatoliki mwaka wa 4 sasa na tuna watoto wawili wadogo 4yrs na 2yrs.
Ushauri, nifanye nini?
Kumbuka kiapo chako cha ndoa
Kwanza wewe na mkeo hamna mawasiliano mazuri ya muda mrefu ndio maana kaanza kujipanga kiuchumi. Kuna mengi yameleta hili kuwa mkweli.
Saa nyingine inategemea unavyouliza ndivyo unavyojibiwa. Kwakuwa hupendi hiyo Pub usikute ukiuliza jambo unauliza kwa kashfa n.k
Halafu wewe sio mlemavu kwanini ulale chumba kama stoo? Huwezi kudeki, kupanga just your room? Unaona mkeo ni mjinga hajasafisha na wewe uliyelala kuchafu siku zote uko sawa?? My dear mmefanana kabisa.
Nenda kwa mshenga hadi kwa paroko yakishindikana jiongeze maana paroko hawezi kuwaambia muachane maana mlishapata sakramenti ya ndoa. Ukweli mimi naona mkeo kafika pabaya na mnaweza achana huyo ni tapeli na kuna kundi baya analo.Mke amefungua pub bila kunishirikisha na anauza mwenyewe kama bar maid nyumba imewaka moto Sababu mke amekua jeuri na kiburi,so aggressive hakuna unachouliza ukajibiwa kistaarabu. Kila mteja anayeenda pale akiomba namba anapewa tu bila shida yupo bize muda wote ni pub pub na `wateja wake" kama anavyowaita hajali familia wala ndoa tena nyumba,chumba chakulala kimekua km stoo kitanda ndio usiseme hajali na imefikia hatua naambiwa nisifike hata kwenye biashara yake sababu namfukuzia wateja wake.
Tupo kwenye ndoa yakikatoliki mwaka wa 4 sasa na tuna watoto wawili wadogo 4yrs na 2yrs.
Ushauri, nifanye nini?