Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni sawa?

Ila wabongo bhana,yani huna uhakika na status yangu halafu unaongea habari za ndoa...kwa hiyo kuolewa ni kuondolewa mkosi?

Olewa wewe basi manake mikosi imekuandama
Mila za kiafrika mwanamke kuolewa ni heshima hata ninyi mnalifahamu Hilo, tatizo unataka kuwa mkali wakati inafahamu Fika kuwa ndoa ni physical address tosha
 
Nasikia wanasema umri ni namba tu

Lakini kwangu mie kuwa na mahusiano na mwanaume niliyemzidi umri siwezi
Duuu,jaribu kubadili mitazamo yako dadayangu,change is the law of life,unaweza kutana nmatu mnamatch each and every thing ,cjui machemistry5 huko lkn,inshu ikawa umri,huu niubaguzi kama ubaguzi aliokua akiuzungumzi mwl Nyerere juu ya kabila lawakara Kua rais
 
Baby Mama wangu alonipa Mtoto wakwanza ni Mkubwa kwangu wa miaka 3.


Huyu Baby Mama ambaye ndio Wife kanizidi miaka 2.



Haya , Njooo uniulize maswali yote nikujibu !! .



Kwanza nianze kwa kuuliza..
Huyo Mwanamke Ana miaka mingapi nawewe una miaka mingapi ???

Usije kua una 23 alafu Dem ana 25...wote bado mkawa bado ni watoto walochangamka..
Uko Makini Sana chief ,hua nakufatilia Sana
 
Suala la Kuishi na Mwanamke kama Mkeo ndani.


UNAHITAJIKA WEWE MWANAUME, UWE MWANAUME KUANZIA KICHWANI. UPAMBANAJI WA MAISHA, HESHIMA.


yaaan ndani ya NYUMBA, ajue na majiran wajue

Wewe ndo Mzee wa NYUMBA.
Wewe ndo Mwenye majukumu ya NYUMBA yako.
Wewe ndio Mumewe, kwamba ana WAJIBIKA KUKUHESHIMU SANA, KUKUJALI, KUKUSIKILIZA, KAMA MUME, BABA, NA MTU UNAYEMWEKA MJINI HAPA.
AFUATE UNACHOSEMA YAAN AWE MTIIFU KWAKO ( ukisema this time hamna kwenda uchagani, nayeye HAENDI ) .
Uonekane wewe ndio Mfalme. MKOLONI n.k



UKIFELI HAYO MACHACHE ...HATA KAMA UMEMZIDI MIAKA 10. atakufanya uwe Kichaa !!


UMRI HAULINDI MAHUSIANO/NDOA. BALI AKILI.
Brother uko Makini nakuombea kwaMunhu,unapoint zinafaa Sana kwadunia yasasa
 
Back
Top Bottom