Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,414
Ni muhimu na nilazima, ukitaka kuona mtoto au kijana au binti anamsadili mazuri ujue ametoka mikononi mwa baba na mama, ukiona mtoto hawezekaniki fuatilia life status yke utaambiwa, ni mtoto wa mchepuko wa mume au nje ya ndoa.
So kuoa ni muhimu kama unapenda kujenga familia nzuri na yenye maadili.
Pia biblia inasema ktk kitabu cha mwanzo Nendeni duniani mkaijaze dunia, bila kuoa/kuolewa mtaijaza VP dunia au ndo itakua chovya chovya style
Sababu za kibiblia katika kuingia katika ndoa ni sababu makini sana.
sitaki chovya chovya tena naomba tujiunge pamoja katika kuijaza hii dunia kama asemavyo BWANA
