KUOA / KUOLEWA ....

KUOA / KUOLEWA ....

Ww n matako kweli dangote ndo huyo ako na pesa lkn haimsaidii chochote anahaha kutafta
Mke
We ndo tahira kweli, hujui maana ya ndoa, utakuja unikumbuke Siku moja utakapomfumania mkeo anagegedwa kitandani kwako
 
Kuoa/Kuolewa ni heshima kwa jamii inayokuzunguka....lakini kwa wale wenye upeo mdogo...kwao kudanga ndo heshima na ujanja
Kwani ukishapata heshima na. Jamii inayokuzuguka kinaongezeka nini cha ziada??
 
Cha lazima na muhinu ni uzima tu ...mengine ni luxury tu za dunia ili kujifariji tu kwamba tuko salama
 
Swali lako ni kama vile kuuliza "is marriage a need or a want?",.nahisi majibu ya swali hili yana base individually,. Kwasababu mtu atajibu kwa uono wake yeye aonavyo au kwa experience aliyonayo/aliyopitia,..so,mm naweza sema kuolewa/kuoa ni muhimu kwasababu zangu fulani fulani,.
 
Ni muhimu na nilazima, ukitaka kuona mtoto au kijana au binti anamsadili mazuri ujue ametoka mikononi mwa baba na mama, ukiona mtoto hawezekaniki fuatilia life status yke utaambiwa, ni mtoto wa mchepuko wa mume au nje ya ndoa.

So kuoa ni muhimu kama unapenda kujenga familia nzuri na yenye maadili.
Pia biblia inasema ktk kitabu cha mwanzo Nendeni duniani mkaijaze dunia, bila kuoa/kuolewa mtaijaza VP dunia au ndo itakua chovya chovya style
 
Mumu! maswali ya namna hii huwa yanalenga kuangalia mtazamo wa walio wengi uko vipi? Mfano nilikuwa nafuatilia nchi moja hivi ... wanaume haoni umuhimu kabisa wa kuoa kwa sababu wanawake ni kero.

Sasa imekuja kwa wanawake nao hawataki kuolewa kwa sababu wanapenda kuwa huru. Matokeo yake ikitokea ukaenda club unakutana na wanawake wengi sana zaidi ya wanaume na wana matendo ambayo siyo ya kistaarabu kabisa.

Jambo lolote lile unaloliona kwenye jamii fulani ni matokeo ya jambo jingine ambalo halikutafutiwa ufumbuzi.

Kuna siku utalikumbuka swali langu na kujua undani wake ..
 
Kwa majibu yako ... nakukubali ... umetetea majibu yako! Safi sana!

Umenikumbusha mwalimu mmoja alisema hivi ... watoto ambao mimba zilitungwa kitandani huwa ni wastaarabu sana hata mashuleni ... lakini wale walotungwa kwa staili za ajabu ajabu wana mambo ya ajabu ajabu pia.
 
Sisi waafrika tuna matatizo makubwa sana ya akili,kuoa au kuolewa siyo lazima ila cha msingi ni kufanya mambo yanayokupa furaha!.....Kama kuoa inakupa furaha just do it kama haikupi furaha put it away!....Kwa mfano mimi suala la kuoa halinipi furaha and i have already just put it away!!
Kumbe ukiachana na chura huwa una akili timamu....kenge we!
 
ni lazima ila sio muhimu
Sisi waafrika tuna matatizo makubwa sana ya akili,kuoa au kuolewa siyo lazima ila cha msingi ni kufanya mambo yanayokupa furaha!.....Kama kuoa inakupa furaha just do it kama haikupi furaha put it away!....Kwa mfano mimi suala la kuoa halinipi furaha and i have already just put it away!!
 
kuolewa au kuoa ni muhimu na inakujengea heshima pia ata kuja kutembelewa na ndugu kwako hailet picha nzur ndugu kwenda kwa mtu anaeish na hawala uwa tunafosi tu
Kwani usipooa lazima uishi na hawara? Ukifanya kitu kwasababu unataka uwaridhishe watu wengine UTAPATA TABU SANA.
 
Ndoa n heshima aiseee hata mtaan
Unaheshimika
Unaweza kuwa umeoa/kuolewa ila ni mzinzi,mlevi hamna mtu mtaani atakuheshimu. You earn respect u just dont get it coz u got hitched!
 
Mumu! maswali ya namna hii huwa yanalenga kuangalia mtazamo wa walio wengi uko vipi? Mfano nilikuwa nafuatilia nchi moja hivi ... wanaume haoni umuhimu kabisa wa kuoa kwa sababu wanawake ni kero.

Sasa imekuja kwa wanawake nao hawataki kuolewa kwa sababu wanapenda kuwa huru. Matokeo yake ikitokea ukaenda club unakutana na wanawake wengi sana zaidi ya wanaume na wana matendo ambayo siyo ya kistaarabu kabisa.

Jambo lolote lile unaloliona kwenye jamii fulani ni matokeo ya jambo jingine ambalo halikutafutiwa ufumbuzi.

Kuna siku utalikumbuka swali langu na kujua undani wake ..
Kwahiyo unataka kuniambia kuoa/kuolewa ni lazima??
 
Sisi waafrika tuna matatizo makubwa sana ya akili,kuoa au kuolewa siyo lazima ila cha msingi ni kufanya mambo yanayokupa furaha!.....Kama kuoa inakupa furaha just do it kama haikupi furaha put it away!....Kwa mfano mimi suala la kuoa halinipi furaha and i have already just put it away!!

Blaza umekua ukituonea sana sisi Waafrika kwa matatizo ya akili tuliyonayo.

Hebu wakati mwingine jaribu kutupatia namna ya kutufanya turidhike na haya matatizo
 
Back
Top Bottom