nanabecka64
Member
- Jul 9, 2018
- 25
- 25
kuolewa au kuoa ni muhimu na inakujengea heshima pia ata kuja kutembelewa na ndugu kwako hailet picha nzur ndugu kwenda kwa mtu anaeish na hawala uwa tunafosi tu
Sisi waafrika tuna matatizo makubwa sana ya akili,kuoa au kuolewa siyo lazima ila cha msingi ni kufanya mambo yanayokupa furaha!.....Kama kuoa inakupa furaha just do it kama haikupi furaha put it away!....Kwa mfano mimi suala la kuoa halinipi furaha and i have already just put it away!!

Kwa hiyo huwezi timiza kusudi la Mungu hadi uoe/uolewe,ni kweli maandiko yanasema hivyon muhimu na lazima kwa ajili ya kutimiza kusudi la Mungu
Ndoa n heshima aiseee hata mtaankuolewa au kuoa ni muhimu na inakujengea heshima pia ata kuja kutembelewa na ndugu kwako hailet picha nzur ndugu kwenda kwa mtu anaeish na hawala uwa tunafosi tu
nakaziaKuolewa ni heshima! Mke wa Juma ni vzuri kuliko hawala wa Juma
niambie kaka mzima wewsisi kwetu ni muhimu lakini sio lazima!
Ndoa ni matokeo ya nini?Hapa tunaongelea kuoa / kuolewa sio ndoa ... ndoa ni kitu kingine tusichanganye maneno.
Heshima pesa mbuzi weweNdoa n heshima aiseee hata mtaan
Unaheshimika

Ww n matako kweli dangote ndo huyo ako na pesa lkn haimsaidii chochote anahaha kutaftaHeshima pesa mbuzi wewe![]()
![]()
![]()
![]()