Kuoa! Ili iweje?

Kuoa! Ili iweje?

Umezungumzia uzinzi ivo endelea tu, ndoa ni taasisi nyingine wewe haikufai kabisa, maana ndoa inawahusu wanaume waliokomaa kiakili.

ndoa ni mtazamo tu wa mtu au utamaduni ndio maana baadhi ya tamaduni wanaozwa/ozeshwa wakiwa katika umri mdogo. Ukomavu wa akili hauhusiani na mambo ya ndoa. Think outside the box
 
1. Kama mpenzi wangu kila ijumaa anakuja kwangu na anasipendi nae mpaka jumapili usiku, nioe ili iweje?2. Kama kila nguo zangu zikichafuka au nyumba ikihitaji usafi sikosi mwanamke wa kunisaidie, nioe ili iweje?3. Kama mwanamke niliyempa mimba yuko tayari kuzaa, nioe ili iweje?4. Kama kila nikihitaji tendo la ngono (sio tendo la ndoa) nalipata kwa wakati, nioe ili iweje?5. Kama kila nikihitaji ushauri au kuliwazwa na mwanamke napata, nioe ili iweje?Bado nipo nipo sana
Ukiwa mkubwa utaelewa.
 
Sio under 18 litakuwa lijitu lizima ila sema ubongo wake uli-stuck akiwa na miaka 10, litakuwa lijitu la 30's au 40's lakini ubongo wake unafikiri kama mtoto wa miaka 10. Mtu gani huna akili ya kufikiri wazazi wake walioana linakazaliwa lenyewe na sasa limekuwa linaogopa kuoa kubwa zima

Rejea uzi wangu vizuri, huduma ninazozipata mimi kutoka kwa mpenzi wangu, mzee wangu asingezipata bila kuoa. siku izi wanawake wanawake wanakimbilia kutimiza maukumu ya kindoa wakati bado hawajaolewa. Wakati ule wazee wetu walipaswa kwanza waoe ndipo waweze kuhudumiwa na wake zao tofauti na sasa. Nina uhakika kama na wao wangepata fursa hii wengi wao wange delay sana kuoa kama vijana wengi wa sasa wanavofanya. KWA LUGHA NYINGINE NIMESHAURI WANAWAKE WAACHE KUJIOZESHA KWA WANAUME KABLA YA WAKATI MUAFAKA
 
ndoa ni mtazamo tu wa mtu au utamaduni ndio maana baadhi ya tamaduni wanaozwa/ozeshwa wakiwa katika umri mdogo. Ukomavu wa akili hauhusiani na mambo ya ndoa. Think outside the box

Sidhani kama kuna haja yakuendelea kuongea hapa. ukikua utajua wapi ambapo tunapishana.
 
ndoa ni mtazamo tu wa mtu au utamaduni ndio maana baadhi ya tamaduni wanaozwa/ozeshwa wakiwa katika umri mdogo. Ukomavu wa akili hauhusiani na mambo ya ndoa. Think outside the box

wewe nawe sikujua ni kilaza hivi #kawoli
 
wewe nawe sikujua ni kilaza hivi #kawoli

chifu kumpa mtu heshima au kumshushia mtu heshima yote ni mitazamo tuu. Hakuna kipimo kilichokubaliwa globally kupima ukilaza wa mtu, isipokuwa nimegundua watu wanaendeshwa na vigezo vya hisia especially wakipishana mawazo mawazo. so mkuu kuwa na amani kwa hili unaniona kilaza may be kwa mengine huniopni kilaza. peace and love
 
Watu wengine hata wazazi wao wasingeoana ili wasiwepo duniani maana ni matatizo kuliko miaka 50 ya CCM
 
naona unahalisha nyeupe kuwa nyekundu
maisha ya ndoa ni zaidi za kugegedana
ndio maana kwenye ndoa kuna tendo la ndoa ni sehemu ya ndoa
kuna kuumwa na kuuguzwa sitaki kuamini hiko kimada kisichokula kiapo kitadumu kwenye ups and downs

Kitadumu ili iweje?! Kuna waliokula viapo na bado wakasambaa muda wa changamoto itakua kimada sijui kidada??
 
Mkuu kawoli nimekuelewa vizuri sana especcially uliposema lengo ni kuwataka wadada waache kujirahisisha na kugawa mzigo pamoja na kutoa muda wao kumtumikia Mwanaume ambaye si mumewe

Pia napenda kukukumbusha kuwa sababu kubwa ya watu kuoa la kwanza kabisa ni kutimiza kusudi la Mungu kwa Mwanaume na Mwanamke,kwasababu Mungu alijua kuna mabinti,makahaba na wanawake kibao wa kuweza kukusaidia wewe kama mwanaume ila aliagiza kuwa na MKE na si mpenzi wa kuwa msaidizi wako.

ingawa pia watu wengi siku hizi wamekatishwa sana tamaa na jinsi cases mbalimbali mbaya zinazotokea katika ndoa na zaidi ni Usaliti. NA issue nyingine wanaume wengi wanaogopa kuoa kutokana na hali ya maisha generally kwani wengi wanahitaji kujipanga sana kabla ya kuoa tofauti na zamani.

ILA all in all,sipingi mada yako ila naamini tungepaswa kukuelewa na kuichukulia kama Changamoto.
 
Last edited by a moderator:
Illovo ataweza kukusaidia zaidi ktk hili japo yeye bado hajaoa
 
Last edited by a moderator:
1. Kama mpenzi wangu kila ijumaa anakuja kwangu na anasipendi nae mpaka jumapili usiku, nioe ili iweje?
2. Kama kila nguo zangu zikichafuka au nyumba ikihitaji usafi sikosi mwanamke wa kunisaidie, nioe ili iweje?
3. Kama mwanamke niliyempa mimba yuko tayari kuzaa, nioe ili iweje?
4. Kama kila nikihitaji tendo la ngono (sio tendo la ndoa) nalipata kwa wakati, nioe ili iweje?
5. Kama kila nikihitaji ushauri au kuliwazwa na mwanamke napata, nioe ili iweje?

Bado nipo nipo sana

Hii mada inamdhalilisha mwanamke
 
Kama wazazi wako uliwakuta katika mpango wa maisha yako na wewe ishi hivyo,kama ni tofauti basi ishi walivyoishi...
 
Endelea kuwepo kaka mbona haina shida kwani sie tutaathirika vipi unadhani? Kila mchuma baya hula na nduguze hivyo hilo lako, sijui mmlogwa nanani jamani?
 
Back
Top Bottom