Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
ambae hajawahi kufanya ngono na awe wa kwanza kunyoosha kidole juu
Ngono mwisho kijijini mjini tunafanya 'mapenzi'.
ambae hajawahi kufanya ngono na awe wa kwanza kunyoosha kidole juu
Sio under 18 litakuwa lijitu lizima ila sema ubongo wake uli-stuck akiwa na miaka 10, litakuwa lijitu la 30's au 40's lakini ubongo wake unafikiri kama mtoto wa miaka 10. Mtu gani huna akili ya kufikiri wazazi wake walioana linakazaliwa lenyewe na sasa limekuwa linaogopa kuoa kubwa zimakabisa isitose co kosa lake huenda ni under 18 sooooo msameheni bure.....
Ni imani yangu wazazi wake watakuwa walifunga ndoa, tofauti na mijitu ya siku hizi inaogopa ndoaWe nani kakwambia wazazi wake walioana?
Kama mimi vile ninavyohitaji ndoaUmezungumzia uzinzi ivo endelea tu, ndoa ni taasisi nyingine wewe haikufai kabisa, maana ndoa inawahusu wanaume waliokomaa kiakili.
Ni bora ya wanaume kuliko wanawake wa siku hizi hawajielewi kabisaama ndo kukwep majuku maan wanaume wengi cku hizi hovyoo kbs
naona unahalisha nyeupe kuwa nyekundu
maisha ya ndoa ni zaidi za kugegedana
ndio maana kwenye ndoa kuna tendo la ndoa ni sehemu ya ndoa
kuna kuumwa na kuuguzwa sitaki kuamini hiko kimada kisichokula kiapo kitadumu kwenye ups and downs
Kama mimi vile ninavyohitaji ndoa
Kwani akiumwa huyo mke ni Nurse au ni doctor?
Wewe! Wewe! kwani wewe hujui?Tobaaaaaaaaa!!!!!!!!!! mweeeeeeeee!!!!!! wewe! wewe!!!!! mmmh!!!!!!!!!!! haya mwaka gani itakuwa hiyo??????
Wewe! Wewe! kwani wewe hujui?
Mama alisema wataweka Kiduku!!!!!!!!!Mimi kama mke mtarajiwa sijui, wallah!!!! uje chemba uniambie lini kwetu wataniwekea kigodoro hahaahahah!!!!!!!!!!!!
1. Kama mpenzi wangu kila ijumaa anakuja kwangu na anasipendi nae mpaka jumapili usiku, nioe ili iweje?
2. Kama kila nguo zangu zikichafuka au nyumba ikihitaji usafi sikosi mwanamke wa kunisaidie, nioe ili iweje?
3. Kama mwanamke niliyempa mimba yuko tayari kuzaa, nioe ili iweje?
4. Kama kila nikihitaji tendo la ngono (sio tendo la ndoa) nalipata kwa wakati, nioe ili iweje?
5. Kama kila nikihitaji ushauri au kuliwazwa na mwanamke napata, nioe ili iweje?
Bado nipo nipo sana