Kuoa! Ili iweje?

Kuoa! Ili iweje?

1. Kama mpenzi wangu kila ijumaa anakuja kwangu na anasipendi nae mpaka jumapili usiku, nioe ili iweje?
2. Kama kila nguo zangu zikichafuka au nyumba ikihitaji usafi sikosi mwanamke wa kunisaidie, nioe ili iweje?
3. Kama mwanamke niliyempa mimba yuko tayari kuzaa, nioe ili iweje?
4. Kama kila nikihitaji tendo la ngono (sio tendo la ndoa) nalipata kwa wakati, nioe ili iweje?
5. Kama kila nikihitaji ushauri au kuliwazwa na mwanamke napata, nioe ili iweje?

Bado nipo nipo sana

VYOTE UTABISHA: Lakini subiri uanze kuoza ukiwa bado hai,ndio hivyo viswali vyako utajijibu mwenyew,ukija tena kuomba ushaur hapa jf nasisi tutakuuliza unakula pipi[ARV] ili iweje?
 
Inatakiwa atoe strong reson sio kumpiga vijembe tu na kumkandia,huenda ana maana sana nyuma ya pazia kutokana na sentesi yake ya kuoa ili iweje
 
Kibaolojia umekua, ila kitabia, kifikira, kimatendo, kimtazamo na kijamii bado mtoto. Na haya yanajipambanua kutokana na andiko lako linalokuonyesha kuwa unafikiri ndoa ni ngono, mke kukuzalia watoto, mke kukufuliwa nguo, soksi, mke kukufagilia nyumba na upuuzi mwingine unaofanana na huo. Yaani unachukulia ndoa ni mkusanyiko shughuli ambazo unafanyiwa na mwanamke. Are you serious? Ndoa ni zaidi za tamaa ya ngono, ndoa ni mapenzi na mapenzi ni zaidi ya ngono. ndoa ni kusaidiana majukumu na sio kusaidiwa kama unavyowaza wewe. ndoa ni taasisi takatifu, tofauti na unavyofikri wewe. ndoa malezi ya watoto kama mkijaliwa kupata watoto na ujenzi wa familia iliyo imara. Ndoa ni hali ya kujisikia mume na mke wapo mwili mmoja. Na mengine mengi yanayofanana na haya. Nakushauri ujiongeze.
 
Sio under 18 litakuwa lijitu lizima ila sema ubongo wake uli-stuck akiwa na miaka 10, litakuwa lijitu la 30's au 40's lakini ubongo wake unafikiri kama mtoto wa miaka 10. Mtu gani huna akili ya kufikiri wazazi wake walioana linakazaliwa lenyewe na sasa limekuwa linaogopa kuoa kubwa zima
We nani kakwambia wazazi wake walioana?
 
Kama huelewi umuhimu wa kuoa bora usioe tu
 
Hiyo ni laana unamuhitaji YESU akuweke huru maana umefungwa na pepo la ngono hata hujitambui
 
Mkuu, hoja zako ni nzuri, ila unapoingiza suala la Mungu unakuwa hauko sawa, sio watu wote wanaamini katika hizi dini zinazozungumzia Mungu achilia mbali hilo ulilosema ni kusudi lake, hebu toa hoja ambazo zitamgusa kila mtu, bila kujali ni muumini wa dini ama la.

Hadi hapa hakuna aliyetoa hoja yenye mashiko, wengi wanazungumzia kupikiwa, kufuliwa na kadhalika, vitu ambavyo mfanyakazi wa kawaida tu anaweza kufanya, wengine wanasema ili kupata mtoto na kuuguzwa ukiugua, vitu vinavyowezekana tu bila ndoa, swali linabaki, kwa nini mtu aoe?

Binafsi nakaribia 40 na sijawahi kufikiria kuoa, msiniponde, nipeni hoja kwa nini nioe, labda mnaweza kunishawishi nianze kutafuta mchumba.
Mkuu kawoli nimekuelewa vizuri sana especcially uliposema lengo ni kuwataka wadada waache kujirahisisha na kugawa mzigo pamoja na kutoa muda wao kumtumikia Mwanaume ambaye si mumewe

Pia napenda kukukumbusha kuwa sababu kubwa ya watu kuoa la kwanza kabisa ni kutimiza kusudi la Mungu kwa Mwanaume na Mwanamke,kwasababu Mungu alijua kuna mabinti,makahaba na wanawake kibao wa kuweza kukusaidia wewe kama mwanaume ila aliagiza kuwa na MKE na si mpenzi wa kuwa msaidizi wako.

ingawa pia watu wengi siku hizi wamekatishwa sana tamaa na jinsi cases mbalimbali mbaya zinazotokea katika ndoa na zaidi ni Usaliti. NA issue nyingine wanaume wengi wanaogopa kuoa kutokana na hali ya maisha generally kwani wengi wanahitaji kujipanga sana kabla ya kuoa tofauti na zamani.

ILA all in all,sipingi mada yako ila naamini tungepaswa kukuelewa na kuichukulia kama Changamoto.
 
Sawa mkuu
 
Umekula maharage ya wapi wewe mpaka usione umuhimu wa kuishi na mke na watoto? HAKIKA HUWEZI KUJUA UTAMU WA ASALI MPAKA UONJE.
 
1. Kama mpenzi wangu kila ijumaa anakuja kwangu na anasipendi nae mpaka jumapili usiku, nioe ili iweje?
2. Kama kila nguo zangu zikichafuka au nyumba ikihitaji usafi sikosi mwanamke wa kunisaidie, nioe ili iweje?
3. Kama mwanamke niliyempa mimba yuko tayari kuzaa, nioe ili iweje?
4. Kama kila nikihitaji tendo la ngono (sio tendo la ndoa) nalipata kwa wakati, nioe ili iweje?
5. Kama kila nikihitaji ushauri au kuliwazwa na mwanamke napata, nioe ili iweje?

Bado nipo nipo sana

Ili ujipangie malengo, unadhani kila siku utakuwa kijana? Kuna siku wasichana watakukimbia na utabaki peke yako na hapo ndiyo utaiona hiyo 'nipo nipo' kama inafanya kazi.
 
halafu nawewe unajiita mwanaume....
 
kuna watu wa kuwashauri lakini sio mleta mada.........AMEVURUGWA
 
Mkuu kawoli nimekuelewa vizuri sana especcially uliposema lengo ni kuwataka wadada waache kujirahisisha na kugawa mzigo pamoja na kutoa muda wao kumtumikia Mwanaume ambaye si mumewe

Pia napenda kukukumbusha kuwa sababu kubwa ya watu kuoa la kwanza kabisa ni kutimiza kusudi la Mungu kwa Mwanaume na Mwanamke,kwasababu Mungu alijua kuna mabinti,makahaba na wanawake kibao wa kuweza kukusaidia wewe kama mwanaume ila aliagiza kuwa na MKE na si mpenzi wa kuwa msaidizi wako.

ingawa pia watu wengi siku hizi wamekatishwa sana tamaa na jinsi cases mbalimbali mbaya zinazotokea katika ndoa na zaidi ni Usaliti. NA issue nyingine wanaume wengi wanaogopa kuoa kutokana na hali ya maisha generally kwani wengi wanahitaji kujipanga sana kabla ya kuoa tofauti na zamani.

ILA all in all,sipingi mada yako ila naamini tungepaswa kukuelewa na kuichukulia kama Changamoto.

una akili kubwa sana mkuu, hongera
 
Watu wengine hata wazazi wao wasingeoana ili wasiwepo duniani maana ni matatizo kuliko miaka 50 ya CCM

mkuu sio kila mtoto ni zao la ndoa, waombe radhi wote waliozaliwa nje ya ndoa
 
Hiyo ni laana unamuhitaji YESU akuweke huru maana umefungwa na pepo la ngono hata hujitambui

ambae hajawahi kufanya ngono na awe wa kwanza kunyoosha kidole juu
 
Huyu bado mtoto mdogo mhurumieni tu akikua atajua ujinga aliokuwa akifikiria.

Mkuu, hoja zako ni nzuri, ila unapoingiza suala la Mungu unakuwa hauko sawa, sio watu wote wanaamini katika hizi dini zinazozungumzia Mungu achilia mbali hilo ulilosema ni kusudi lake, hebu toa hoja ambazo zitamgusa kila mtu, bila kujali ni muumini wa dini ama la.

Hadi hapa hakuna aliyetoa hoja yenye mashiko, wengi wanazungumzia kupikiwa, kufuliwa na kadhalika, vitu ambavyo mfanyakazi wa kawaida tu anaweza kufanya, wengine wanasema ili kupata mtoto na kuuguzwa ukiugua, vitu vinavyowezekana tu bila ndoa, swali linabaki, kwa nini mtu aoe?

Bninafsi akaribia 40 na sijawahi kufikiria kuoa, msiniponde, nipeni hoja kwa nini nioe, labda mnaweza kunishawishi nianze kutafuta mchumba.
mzee wa funny umemsikia Mjuni Lwambo?
 
Back
Top Bottom