Mama alisema wataweka Kiduku!!!!!!!!!
hakuna wake za watu ambao ni manurse au madoctor ??
hivi unajua mambo ya kuuguza au unaonesha ujinga kwa maswali ya kijinga ?
rejea points alizotaja mdau Casuist on page 4,need i say more,..
don.know bout u guys but I really value partnership na mwanaume wangu,
js the fact that u have someone to go through life and share experiences is just VERY COMFORTING..
Mkuu watoto wa nje ya ndoa ni wengi sana japokuwa sina maana kwamba ni wenye tabia kama za huyu bwana. Ila si busara kujiaminisha tu kirahisi rahisi kuwa huyu bwana katokana na zao la ndoa. Inawezekana kabisa hata baba yake hamjui au hata mama yake pia.Ni imani yangu wazazi wake watakuwa walifunga ndoa, tofauti na mijitu ya siku hizi inaogopa ndoa
1. Kama mpenzi wangu kila ijumaa anakuja kwangu na anasipendi nae mpaka jumapili usiku, nioe ili iweje?
2. Kama kila nguo zangu zikichafuka au nyumba ikihitaji usafi sikosi mwanamke wa kunisaidie, nioe ili iweje?
3. Kama mwanamke niliyempa mimba yuko tayari kuzaa, nioe ili iweje?
4. Kama kila nikihitaji tendo la ngono (sio tendo la ndoa) nalipata kwa wakati, nioe ili iweje?
5. Kama kila nikihitaji ushauri au kuliwazwa na mwanamke napata, nioe ili iweje?
Bado nipo nipo sana
Mkuu watoto wa nje ya ndoa ni wengi sana japokuwa sina maana kwamba ni wenye tabia kama za huyu bwana. Ila si busara kujiaminisha tu kirahisi rahisi kuwa huyu bwana katokana na zao la ndoa. Inawezekana kabisa hata baba yake hamjui au hata mama yake pia.
Mkuu nimekulewa vizuri inawezekana kweli atakuwa ameiga tabia za baba yakeMkuu watoto wa nje ya ndoa ni wengi sana japokuwa sina maana kwamba ni wenye tabia kama za huyu bwana. Ila si busara kujiaminisha tu kirahisi rahisi kuwa huyu bwana katokana na zao la ndoa. Inawezekana kabisa hata baba yake hamjui au hata mama yake pia.
Basi ukikua utaacha, usijali sana kwa sasa.Hapa inabidi nitoe ufafanuzi kidogo. Nimezaliwa ndani ya ndoa halali ya kikatoliki. Ndugu zangu wakubwa wote wameoa na kuolewa katika ndoa takatifu za kikatoliki. Wazazi wangu wawili wote wapo hai na nawafahamu.