Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,093
nikiona changamoto kama hizi naogopa kumtundika binti kibendi nisawa na kuaribu future yake...wacha nisubili mpaka ndoa!
Kwa hiyo hawa waliotofautiana na wewe hapa sio sehemu ya jamii?Nimesema jamii unaelewa lakini maana ya jamii? Wanaume chungu nzima katika jamii yetu wanaoa wanawake wenye watoto na kuwatunza vizuri kama watoto wao na ndoa zinakuwa hazina matatizo yoyote yale. Usimchuuze huyu aliyeomba ushauri hapa akamtema binti wanayependana naye akamtema kisa tu kwa kuwa huyo binti ana mtoto aliyempata kabla ya kukutana naye.
Kwa hiyo hawa waliotofautiana na wewe hapa sio sehemu ya jamii?
Ndugu suala la muhimu ni upendo uliopo kati yenu, kama mnapendana hakuna haja ya kuangalia mtoto kwani huyo mtoto ana tatizo gani? Tena kama unataka maisha ya furaha muoe huyo dada ipo siku utatuambia kuwa tulikushauri vzr. Zingatio kwako ni moja tu, kabla hamjaoana mjadiliane suala la huyo mtoto kwa maana mzazi mwenzake na ufahamu pia kuwa ni kwanini waliachana ili ujue kila kitu. Hayo yatakusaidia ktk kufanya maamuzi yako.
Ndugu suala la muhimu ni upendo uliopo kati yenu, kama mnapendana hakuna haja ya kuangalia mtoto kwani huyo mtoto ana tatizo gani? Tena kama unataka maisha ya furaha muoe huyo dada ipo siku utatuambia kuwa tulikushauri vzr. Zingatio kwako ni moja tu, kabla hamjaoana mjadiliane suala la huyo mtoto kwa maana mzazi mwenzake na ufahamu pia kuwa ni kwanini waliachana ili ujue kila kitu. Hayo yatakusaidia ktk kufanya maamuzi yako.
Acha umbulula ww.....!!!??????? Kwan mtoto ana shida gan...... au unataka wale wenye watoto 10 lakn wakazalia chooni.????? Acha bange....
hebu acheni kudanganyana hapa, kijana wa miaka 27 ana sababu zipi za msingi za kujibebesha msalaba huu?
hivi mngezaliwa zamani wanawake wachache mngeweza kupata wachumba kweli?
Mke wa kuoa ni tofauti n yule wa maonyesho, hapo unafikiria maisha zaidi ya starehe. Kuzaa mtoto haimuondolei sifa ya kuwa mama bora (yawezeana alibebeshwa mimba na mtu aliyekuwa na matumaini naye). Wapo walioolewa wakiwa na watoti tayari lakink ndoa zao zinafuraha ajabu, lakini wapo vilevile waliooa mabinti lakini ndoa hazikudumu hata mwaka, na hata zile zilizofumu, misukosuko kibao!. Tafakari juu ya aina ya mke umtakae kisha fanya maamuzi.
Nimekupata sana mkuu nakushukuru naamini it is a sincere advice thanks bro.
kwanza kabla hujaanza kujaa mate nikuulize tu unajuwa angalau hata maana ya mtoto wa kwanza?.
siku zote nitaendelea kushauri ni vizuri mwanamke aliyezaa akibahatika aolewe na mwanaume aliyezaa pia.
ukitumia kichwa cha chini kufikiri kamwe huwezi kulielewa hili.
mkuu experience ya wazi inaonyesha wazazi hawaachani lazma watakumbukana na kufarijiana siku moja. Kama umeamua kuoa jiandae kisaikolojia kuukubali ukweli huo. Vinginevyo kumuoa sio mbaya.
ni vizuri uowe watoto wapatikane ndani ya ndoa, ili swala watu wanalichukulia juu tu.
changamoto si kuolewa tu hata akiolewa kuna changamoto nyingi wewe umeoa mwanamke watoto wako uwezo wako ni kuwapeleka shule za kata, linatokea njemba lililomzalisha mkeo linampeleka mtoto wake ist masaki hivi hao watoto uliozaa wataona wana baba kweli?
Kuoa binti mwenye mtoto sio dhambi......mnapendana mmekubaliana kuwa na taarifa sahihi kutoka kwa mama kuhusu mtoto
acha kupotosha umma. experience ya wazi ndo ipi? Kwani wapenzi walioachana bila kuzaa hawawezi kukumbushana na kufarijiana? Hata bikra akioa au kuolewa na asiyempenda anaweza kufarijiana na yule aliyempenda akitaka.
nyie mnao quote thread nzima na kuandika mistari miwili mnatuchosha aisee.