Loy MX
JF-Expert Member
- Mar 26, 2012
- 1,253
- 313
Wana jamvi habarini,
Nina rafiki yangu mdada, anahitaji kuolewa na mchumba wake waliokuwa nae kwa miaka miwili sasa
tatizo huyo muoaji, hataki habari za sherehe ya ndoa,
madai yake ni kupoteza muda na pia resources.
ambacho anakipinga ni kuanza kuwachangisha watu michango ya harusi
ila jamaa ni a kind of anti-social fulani
hana marafiki wengi
so nadhani anaogopa kuwa haitafanukiwa.
mimi kama rafiki, mtazamo wangu ni kwamba
sherehe sio ya muhimu saaaana kama wanapendana na kuelewana
namuunga mkono jamaa, akatoe mahali kama utaratibu then achukue mkewe kwa ndoa ya kimila au bomani.
rafiki yangu hajanielewa kwa kukubaliana na mtazamo wa mchumba wake!!!
wewe mwana MMU wasemaje?
sure kama mtu salio lake sio kubwa haina maana ya kufanya sherehe kubwa na mwisho wa siku inakuachia makovu tu.. Kwa mwanamke anaweza kuwa anapewa pressure na marafiki wenzake au hata ndugu ya kufanya sherehe kubwa but as long as kipato ni kidogo sioni mantiki ya kufanya kitu kikubwa.....