Loly
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 522
- 223
Ambao bado hamjaoa kazi mnayo huko tuendako
yaani hii tabia yakuombwa michango inakeeera,
unakuta mtu unashindwa kufanya mambo yako ya maendeleo kisa unakadi 7 za michango wote sio chini ya 100,000 embu niambie, kwanini mtuu usijichangishe vihela vyako mwenyewe theni ndio ujipange kuoa.
kuna ndugu yangu alioa akaestimate anataka harusi yake isipungue 20milns tulikomaje? familia nzima ilibidi tupewe kiwango cha kuleta yaani nikufanywa ombaomba sasa baada ya hela kupatika jinsigani ilivyochezewa kadi moja ya mwaliko ilikuwaimegharimu 12,000 waalikwa 300 sio chakula wala kinywaji hapo hizo ni kadi tuu nikajiuliza sasahivi kuoa imekua anasa ama?
sasa hivi sichangi ambaye hajaoa wala kuolewa na anataka achangiwe imekula kwakwe.