Kuoa bila sherehe, mtazamo wako.

Kuoa bila sherehe, mtazamo wako.

ACADEMIA TODAY

Senior Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
179
Reaction score
86
Wana jamvi habarini,

Nina rafiki yangu mdada, anahitaji kuolewa na mchumba wake waliokuwa nae kwa miaka miwili sasa
tatizo huyo muoaji, hataki habari za sherehe ya ndoa,
madai yake ni kupoteza muda na pia resources.
ambacho anakipinga ni kuanza kuwachangisha watu michango ya harusi
ila jamaa ni a kind of anti-social fulani
hana marafiki wengi
so nadhani anaogopa kuwa haitafanukiwa.

mimi kama rafiki, mtazamo wangu ni kwamba
sherehe sio ya muhimu saaaana kama wanapendana na kuelewana
namuunga mkono jamaa, akatoe mahali kama utaratibu then achukue mkewe kwa ndoa ya kimila au bomani.

rafiki yangu hajanielewa kwa kukubaliana na mtazamo wa mchumba wake!!!

wewe mwana MMU wasemaje?
 
Suala sio kuwa social au anti-social suala ni resource, nilifunga ndoa na kulikua na sherehe lakini maumivu yanayobaki baada ya hapo ni mimi ninayejua. sema niliona mke wambae sio complicated, sasa imebaki story. Kuna kipindi wakati niko chuo pale Mlimani niliona watu siku ya jumatano I think walienda pale CCT kanisani wakafungishwa ndoa wakaondoka zao na mashahidi wao, mwengine ni classmate wangu,alifunga kimya kimya alipomaliza ndugu yake akawachukua wakaenda baharini wakatafuta mahali wakala wakanywa kiasi hao nduki...life goes on
 
Unakuta mtu muoaji anatoa bajeti kuwa harusi itagharimu let say 15 mil, akiulizwa yeye amejiandaa na ana shilingi ngapi anasema ana laki mbili na hapo yupo serious anamaanisha anachokisema.?

Hapo kinachofuata ni kulaumu watu ya kuwa hawajamchangia katika sherehe ya harusi yake. Mwishowe kuja kudai michango as if aliwakopesha watu hizo pesa ama aliziweka. Ya nini ugombane na your long time friends coz ya mchango wa harusi.? Tena harusi yenyewe ya siku moja inapita.

Atleast ukisema una 50% ya bajeti ya harusi hapo kweli unaweza ukafunga harusi kwa raha mustarehe. Lakini huu ya kutegemea watu wakuchangie ndio ufunge harusi, ndio mambo ya kuja kuangaliana vibaya na watu hapo baadae kuwa hawajakuchangia.
 
Naunga mkono hoja ndoa ni kanisani au wilayani kana ni ya serikali na nyinyi wenyewe yaani mume na mke hizo nyingine mbwembwe tu za kutiana umaskini tu
Kwa sababu kama ukichangiwa jua hao watu waliokuchangia na wewe utawachangia na usipowachangia wataanza maneno sasa ya nini yote hayo.
 
Sherehe ndio nini? unaweza kualika watu kushereka na wewe siku yeyote ile ikiwa na minoti ya kuteketeza, ndoa ni maagano ya watu wawili sherehe ni ziada tu na wala si lazima, ila kama uchumi wako ni mzuri si mbaya kufanya sherehe lakini si kutegemea michango ya watu.

Hata kuoa inaonekana watu wengi hawaoi kwa sababu wameona kuna ulazima wa wao kufanya hivyo bali pressure za outsiders.

Niliwahi kumjibu Mama yangu mzazi kwamba asidhani ananipressure kuoa mimi nitaoa mke wa Familia au kumtunza yeye, bali nikiamuwa kuoa naoa mke wangu na hana ubia wowote na familia yangu, zile pressure zilikoma kuanzia hapo.

Vijana wengi wa Kitanzania ni tegemezi wa kipato na kiakili na kimaamuzi kwa wazazi wao ndio maana wanaburuzwa kufanya vitu ambavyo hata mioyo yao haimini kama si sahihi. Waswahili tabu sana hawajui bado wapo matajili wakubwa duniani na wanafunga ndoa kwa siri, sidhani kama kuna mtu amewahi kujiuliza why!!
 
Mi nilioa bila sherehe na mwaka wa tatu huu sasa nadunda na wife. Watu wanataka makubwa kwa kutegemea KUKAMUA watu. Pesa nyingi hupotea kwenye sherehe alafu maharusi wanasuffer baada ya ndoa.
 
Kwani mkipika Pilau lenu nyumbani bila kualika wasio wahusika sio sherehe?
 
Wana jamvi habarini,

Nina rafiki yangu mdada, anahitaji kuolewa na mchumba wake waliokuwa nae kwa miaka miwili sasa
tatizo huyo muoaji, hataki habari za sherehe ya ndoa,
madai yake ni kupoteza muda na pia resources.
ambacho anakipinga ni kuanza kuwachangisha watu michango ya harusi
ila jamaa ni a kind of anti-social fulani
hana marafiki wengi
so nadhani anaogopa kuwa haitafanukiwa.

mimi kama rafiki, mtazamo wangu ni kwamba
sherehe sio ya muhimu saaaana kama wanapendana na kuelewana
namuunga mkono jamaa, akatoe mahali kama utaratibu then achukue mkewe kwa ndoa ya kimila au bomani.

rafiki yangu hajanielewa kwa kukubaliana na mtazamo wa mchumba wake!!!

wewe mwana MMU wasemaje?

Naunga mkono, sherehe ni kupoteza muda wakati ndoa ni between the 2.
 
Yan kikubwa ni tendo kuchangshna mambo ya kizaman. tubadilike jaman.mimi kwanza sipend kukwaza watu kisa plan za maisha yangu.pete cheti baaasi.
 
Wana jamvi habarini,

Nina rafiki yangu mdada, anahitaji kuolewa na mchumba wake waliokuwa nae kwa miaka miwili sasa
tatizo huyo muoaji, hataki habari za sherehe ya ndoa,
madai yake ni kupoteza muda na pia resources.
ambacho anakipinga ni kuanza kuwachangisha watu michango ya harusi
ila jamaa ni a kind of anti-social fulani
hana marafiki wengi
so nadhani anaogopa kuwa haitafanukiwa.

mimi kama rafiki, mtazamo wangu ni kwamba
sherehe sio ya muhimu saaaana kama wanapendana na kuelewana
namuunga mkono jamaa, akatoe mahali kama utaratibu then achukue mkewe kwa ndoa ya kimila au bomani.

rafiki yangu hajanielewa kwa kukubaliana na mtazamo wa mchumba wake!!!

wewe mwana MMU wasemaje?

....dah? Hawajaoana tayari weshaanza kutofautiana!
 
Mkuu nakuunga mkono sana kwa hoja yako...harusi ni kuchoshana na kurudishana nyuma kimaendeleo
Suala sio kuwa social au anti-social suala ni resource, nilifunga ndoa na kulikua na sherehe lakini maumivu yanayobaki baada ya hapo ni mimi ninayejua. sema niliona mke wambae sio complicated, sasa imebaki story. Kuna kipindi wakati niko chuo pale Mlimani niliona watu siku ya jumatano I think walienda pale CCT kanisani wakafungishwa ndoa wakaondoka zao na mashahidi wao, mwengine ni classmate wangu,alifunga kimya kimya alipomaliza ndugu yake akawachukua wakaenda baharini wakatafuta mahali wakala wakanywa kiasi hao nduki...life goes on
 
Wana jamvi habarini,

Nina rafiki yangu mdada, anahitaji kuolewa na mchumba wake waliokuwa nae kwa miaka miwili sasa
tatizo huyo muoaji, hataki habari za sherehe ya ndoa,
madai yake ni kupoteza muda na pia resources.
ambacho anakipinga ni kuanza kuwachangisha watu michango ya harusi
ila jamaa ni a kind of anti-social fulani
hana marafiki wengi
so nadhani anaogopa kuwa haitafanukiwa.

mimi kama rafiki, mtazamo wangu ni kwamba
sherehe sio ya muhimu saaaana kama wanapendana na kuelewana
namuunga mkono jamaa, akatoe mahali kama utaratibu then achukue mkewe kwa ndoa ya kimila au bomani.

rafiki yangu hajanielewa kwa kukubaliana na mtazamo wa mchumba wake!!!

wewe mwana MMU wasemaje?

dunia hii hakuna MARAFIKI ndugu yangu, hutake husitake....rafiki pekee ni mwili wako na afya yako na baadhi ya watu wa familia yako....mama na watoto...full stop
 
Wana jamvi habarini,

Nina rafiki yangu mdada, anahitaji kuolewa na mchumba wake waliokuwa nae kwa miaka miwili sasa
tatizo huyo muoaji, hataki habari za sherehe ya ndoa,
madai yake ni kupoteza muda na pia resources.
ambacho anakipinga ni kuanza kuwachangisha watu michango ya harusi
ila jamaa ni a kind of anti-social fulani
hana marafiki wengi
so nadhani anaogopa kuwa haitafanukiwa.

mimi kama rafiki, mtazamo wangu ni kwamba
sherehe sio ya muhimu saaaana kama wanapendana na kuelewana
namuunga mkono jamaa, akatoe mahali kama utaratibu then achukue mkewe kwa ndoa ya kimila au bomani.

rafiki yangu hajanielewa kwa kukubaliana na mtazamo wa mchumba wake!!!

wewe mwana MMU wasemaje?

Mshauri hivi, afanye bonge la send-off la kufa mtu yeye mwenyewe maana send-off iko upande wake huyo rafiki yako. Kwa upande wa huyo mumewe mtarajiwa, amruhusu ajifanyie kisherehe kilicho ndani ya uwezo wake. Sioni mantiki ya kumlazimisha mtu kufanya misherehe mikubwa wakati hana uwezo au kama ulivyosema ni anti-social, atachangiwa na nani? Au ndo yale mnamaliza kufunga ndoa mnaishia kulipa madeni?
 
Binafsi sikubaliani na dhana ya kuchangishana fedha kwa ajili ya harusi..na kama tusipolisemea hili sasa...kesho tu watu watakuja kuomba wachangiwe na mahari kabisa...Tatizo kubwa letu watz ni kuwa huwa tunapenda sana show offs...kusema ni rahisi but kutekeleza naona ndio mzigo....tubadilike bana!...i wish ningekuwa kijana nionyeshe mfano....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom