Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​
ahahahahaaa Jacobus hujatulia kabisaa.Hilo swali lina mahusiano kiasi na mada yako.Yani ni sawa na kunyoa..Nasikitika ni ngumu sana kudhibitisha...Tukiwa barabarani ni ngumu kujua mtu kanyoa ama laah unless muwe na ukaribu wa kipekee..........Unaweza kututhibitishia tafadhali! (red bolded).
mi ndo mana namfagilia mom!Check hiyo link mwenyewe ushuhudie mambo...https://www.jamiiforums.com/habari-...a-wingi-shughuli-inaendelea-kama-kawaida.html lakn siku hizi amebadilika amekuwa mwanaharakati wa kupinga hiyo makitu ..Thanks to mom mwaJ na antie Kongosho walifanya kazi ya ziada kumuelimisha..Mie nipo swafi kabisa sikupitia kale kamila potofu.
Unaweza kututhibitishia tafadhali! (red bolded).
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​
Hahahaaaaa Zion Daughter,sitaki mkopo bana,juzi nilikua na baba mkwe Mwita Maranya maeneo ya Tabata kisiwani wakati nacheki nyumba ya Mtambuzi,nikamwelewsha kwamba nimerudi kutoka shinyanga na ng'ombe 17 wanakuja next wiki,akasema tutaongea,ila akasema nimwambie Mwa J kuwa nitatoa ng'ombe 2 halafu hao wengine nimpe offline....hapo ndipo napata utata....Nashindwa nifanyeje wakati miye nimeshakudondokea.Ngoja niende kwa aunt yako Kongosho nione atanishauri vipi....niko njia panda sweetheart...:yo:
Hah! (bolded) mie sijapata kumnyoa hata mmoja wala sijaombwa/ambiwa kufanya hivo ati, huwa nakuta tayari jangwa limetengenezwa.Ni kweli kila kitu na makusudio yake, nadhavi nywele hizo ziliwekwa ili kuongeza mapenzi na uaminifu kwa wapendanao, hebu fikiria mtu anatulia tuliii then unaanza kumnyoa! Nadhani inaongeza hamu,mapenzi na uaminifu kwa wapendanao! au wasemaje?
Naogopa, nimeambiwa wewe ni mchumba tayari ila pete siioni.ahahahahaaa Jacobus hujatulia kabisaa.Hilo swali lina mahusiano kiasi na mada yako.Yani ni sawa na kunyoa..Nasikitika ni ngumu sana kudhibitisha...Tukiwa barabarani ni ngumu kujua mtu kanyoa ama laah unless muwe na ukaribu wa kipekee..........
Mhhhh nilidhani mimi pekee niliyeona hilo asante...smilewewe mdhuri mama mdogo ,khaaaaa
Asante