Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​
Alaaaaaah kumbe wenye vinyweleo ni wadada tuuu!!!!!!mi nilikuwa nafikiri na akina kaka pia!!!!!!!!!!au wakaka huwa mnazibakiza?haya kama ndio hivyo basi na nyie wakaka mtupe majibu kwa nini huwa mnazibakiza.
Sasa na weye naye huu ni uzi wa kuuleta kwa great thinkers, ule si usafi wa kawaida tu, wengine zinalefuka hata kufikia fiti moja sasa si utapata kazi tutafuta njia ya nanihii!!!!?
Alaaaaaah kumbe wenye
vinyweleo ni wadada tuuu!!!!!!mi nilikuwa nafikiri na akina kaka
pia!!!!!!!!!!au wakaka huwa mnazibakiza?haya kama ndio hivyo basi na
nyie wakaka mtupe majibu kwa nini huwa mnazibakiza.
kabisa chaguo ni lake. Wala asipate taabu, ila akumbuke pia wakati anaenda kufanya na mpenziwake aandae na toothpicks kabisa kwa ajili ya kutolea mananilii yatakayobaki kwenye meno ya mpenzi wake baada ya kumnyonya naniii.
Nimemaliza.
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​
Hahahahahaahahaha! Loh Unatangaza jinsi gani ulivyo mchafu!!! kesho utakuja na Topic kwa nini wadada waoge! Ptuuuuuuu!Loh! Kama wewe unazipenda fuga, lakini hakuna raha kama kutokuwa na hayo manyasi kule sehemu maana hata hewa inapita.
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​
JF raha tupu. Hapa nilipo mambo yangu yako hovyo hovyo hayanipi hata muda wa kutabasamu, Lakini mambo ya humu yananifanya nionekane happily natabasamu tu muda wote