Kunyewa na ndege mara kwa mara huashiria nini!?

Unapumzikaje chini ya nguzo ya umeme?
Tuanzie hapo kwanza...
Mkuu! Sio kila palipo na waya wa umeme pana nguzo ya umeme. Besides hizi waya zipo kwenye makazi ya watu.....Hivyo chance ya kukaa chini ya waya wa umeme/TTCL ni kubwa, tena wakati mwingine hua tunakaa hata pasi na kukumbuka kama juu kuna waya.
 
Wasi wasi wangu pengine unakaa kwenye tundu la choo la ndege lakini wewe ujui hapo lazima uoge mavi maana hakuna namna lazima unyewe tu
 
553042f9cdda445254f5af426be2c7ca.jpg
 
Kunyewa na ndege ina maana kubwa sanna ila uchunguze ni ndege gani!? Kama ni kunguru jambo lipo tena kubwa ila kama ni njiwa ni baraka zinakuja ila zaidi ukinyewa kwenye kichwa ndio zahma zinakua hapo
 
Nimenyewa leo na ndege mdogo wa kawaida mkononi tu ina maana gani mkuu? Nilikaa chini ya waya wa umeme alafu ndege mwenyewe anarudi anaanza kulialia juu ya waya, Mshana Jr hii imekaaje mkuu au wanazengo washafanya yao tayari?

Back
Top Bottom