Kunyewa na ndege mara kwa mara huashiria nini!?

Umenogewa na harufu ya Mavi yao, kinachonikera kwa nini imekuwa vigumu kwako kutoka hapo mangala kuku we
 
Hivi karibuni nimekua nikinyewe na ndege Mara kwa Mara Haswa napokua nipumzika mahali (kwenye kivuli au chini ya nyaya za umeme). Naomba kujua tukio hili huashiria nini!?
Tena ukivaa shati jeupe ni shida kwa Dar ukikaa tu chini ya mti, hawakosagi hawa ndege, ni one shot one goal!
 
Niliwai sikia ikitokea hivyo kama ndege ni njiwa basi utapata bahati yoyote nzuri.
Mi wamechafua sana mashati yangu meupe ila sijaona bahati yoyote, msoto uko pale pale! Labda bahati ya dizaini nyingine kama bahati ya kuwa na afya!
 
Back
Top Bottom