Kunusana

alitoa comments zipi baada ya kunusa? alikunja uso au alikuwa poa maana sometimes kutokana na joto kule uwa kuna kaharufu kama soksi zilizofubaa

Kama huwa huogi kuna nuka hivyo ila kama unaoga hakunuki ila kunanukia ndio maana koni yangu huwa ila lambwa lambwa na vile vile soksi zisizofuliwa ndiyo zinanuka uvundo ila soksi ukiva siku 1 na kufua na kubadilisha nyingine hapo hazinuki! Hii umenikumbusha mbali mzee unaenda ugenini kumbe umevaa masoksi hajafuliwa halafu yametoboka sasa ukifika ugenini wenzako wanaanza kuvua viatu wewe unabaki umebung'aa ila cha mwisho unazivulia soksi na viatu kwa pamoja na kuziacha kwenye viatu halafu unaingia peku peku ila ukiangalia wenzako wamekaza soksi duuuh hhahahahahahah.........................:becky::becky::becky::becky:
 
jamani ndoa zina mambo.kunuswa ni jambo la kawaida,kwangu mimi hayo ni mageni na nisingependa kunuswa hata siku moja.Au huyo mwanamke hakuamini?
 
Mi ndio huwa namnusa yeye,
Nisipomnusa anasema simpendi.
Jamani nimenuswa leo .hivi nyie huwa mnanuswa na wenzi wenu kuhakiki kwamba hujafanya majamboz tofauti na mwenzio? Yaani imenishangaza sana! Kwani kuna kukariri harufu ya mwenzi wako tofauti na mapafumu duh hii kali ya wiki nimeipata wandugu
 
Pole sana ndugu, vumilia. Mpe imani kwamba wewe zipu inafunga asiwe na wasiwasi!
 
ngoja nikupe siri nyingine wakati unaenda kuchinja kobe na timu ya ugenini hakikisha unaenda gesti na sabuni ile ile unayotumia home na mafuta pamoja na pafyumu

wenzetu w/wake walishastukia mapema hilo ndio maana ukicheki handbag zao ziko fulluuu kuanzia sabuni, losheni, lipstick, kanga, taulo, chupi ya akiba toilet pepa, wanja, pedi, dawa mseto, n.k vyote hivyo ni kuepusha ushaidi wanapofanya mahasi


heiii....
 
Back
Top Bottom