Hawataki amani, hawataki maridhiano, wanataka vurugu

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,131
Reaction score
882
HAWATAKI AMANI..HAWATAKI MARIDHIANO..WANATAKA VURUGU..

WANAHARAKATI wakiongozwa na CHADEMA wamejipa umuhimu sana kwenye hii nchi kiasi kwamba wanadhani Tanzania haiwezi kufanya jambo lolote bila wao kuwepo au wao kuhusishwa.

WANATAMANI sana kuona Tanzania inakuwa ni nchi ambayo kila siku iko kwenye mikingamo na haitawaliki na watu wako mabarabarani kila siku kuandamana na kuleta vurugu.. Yaani kwao hilo ndiyo lengo kuu kwa kuwa wameshindwa kufanya siasa zaidi ya kupayukapayuka tu majukwaani.

NDIYO maana wanapoisema nchi hii haina barabara hawajawahi kusema wao watafanyaje ili iwe na barabara.. Wanaposema hakuna hospitali hawajawahi kusema wao watafanyaje kuwa na hospitali kila mtaa au kila nyumba kumi zitakuwa na hospitali yao.. Hawajawahi kusema watafamnyaje kufanya nchi hii iwe vile wanavyopayukapayuka majukwaani..

NIMEMSIKIA kwa wiki nzima sasa PANYA BUKU Maria ambaye ni mshauri wao wa mambo ya siasa zao za kiuanaharakati akipayuka kuwa sijui baada ya kuhukumiwa kwa Chiba kutaanza mchakato wa maridhiano. Yaani nimemsoma nieshindwa kuelewa kama huyu mtu nimzima kichwani mwake au ni matatizo yake ya kila siku ya kutokuwa na akili.

KWA HIYO kama taifa linataka kurudhiana na kuleta watu pamoja na kuzungumza tofauti zao na kujenga taifa moja nalo hilo ni jambo hamtaki yaani? Au nyie huwa mnataka nini haswa pengine? Yaani lengo lenu hasa ni nini?

KWA HIYO nalo hilo ni kosa na mnaona kabisa kuwa hamtaki lifanyike yaani? Shida yenu nyie watu ni kuwa mlikaa mkajazana ujinga kuwa nchi hii hakuna kitu kinaweza kufanyika bila CHADEMA na hakuna kitu nikaweza kufanyika bila nyie kuhusishwa. Haya ndiyo madhara yake sasa ya kugeuza chama chenu kuwa kikundi cha kufanya harakati ndiyo maana mmefikia hatua kila watu wanachofanya kwenye maisha yao mnaona wanakosea kwa kuwa siyo mawzzo yenu.

NIMEMSIKIA Lema anakejeli tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva.. Sasa watu wasifanye mambo yao kisa siasa zenu? Kuna kipindi mlikuwa mnakashifu mambo ya mipira ya Yanga na Simba. Kwa hiyo mlitaka Yanga na Simba wasishabikie mambo yao ya mipira kisa hizo siasa zenu au? Huu sasa ndiyo wendawazimu na mmekuwa mnaishi nao kwa miaka mingi sana mkidhani nchi hii nyie ndiyo mnaamulia watu nini cha kufanya na nini wasifanye.

TANZANIA ni nchi na itaamua mambo yake kwa kuwepo au kutokuwepo kwa CHADEMA. Ndiyo maana mligomea uchaguzi na mkajidanganya kuwa hakuna uchaguzi utafanyika matokeo yake uchaguzi ulifanyika na sasa ni mwaka umepita nchi inasonga mbele na watu wanachanja mbuga kuelekea 2030..Nyie mko pake pale tu na mambo yenu ya No Reform No Election.. 😁

KUNA UJINGA mwingi sana mnajazana kuwa bila Chiba nchi hii haiwezi kutawalika. Haya sasa mmeshawahikujiuliza mmeshakaa jela muda gani na nchi bado inasonga mbele? Na wengi wenu mmeshamsahau mpaka kuna muda akija kwenye misala yake Mahakamani anasema watu hawa ni wachache sana hamasisheni wajae mahakamani..Na mtamsahau tu kama mlivyowasahau wengine waliokuwa miongoni mwenu !

HII nchi itasonga mbele tu hata bila ya CHADEMA na imeshafanya hivyo toka Oktoba 2025 lakini nyie bado mko palepale na ndoto za kuwa uchaguzi utarudiwa mara sijui serikali ya mpito iundwe mara sijui Rais ajiuzulu .. Yaani vichwani mwenu kumejaa makamasi mengi sana na mlivyo wajinga mnaaminisha watu wenu kabisa kuwa mambo haya yanawezekana na kweli uchaguzi utaitishwa upya!

TULIPOKUWA tunawakanya achaneni na wanaharakati na acheni kuwapa chama chenukuwa sehemu yao ya kufanya siasa hamkuwa mnaelewa na haya sasa ndiyo madhara yake na huu sasa ndiyo mwisho wa kufanya kwenu siasa.

MLISUSIA uchaguzi na ukafanyika.. Sasa hivi mnataka kususia maridhiano ambayo kwanza hamtaalikwa kwa kuwa nyie siyo sehemu ya watu wa kuridhiana nao,na bado nchi hii itasonga mbele na kupita kwenye hilo na ikifika 2030 hatutaki kusikia milio ya kuwa sijui hamna mgombea mara mmeibiwa kura na blah blah zingine kama ilivyo kawaida yenu.

ENDELEENI na ujinga wenu wa kudhani kuwa wanaharakati ni watu wa maana wa kufanya nao mambo yenu.
 
Sasa kama ni hivyo si mliridhiane na hivyo vyama vilivyobaki, mnakwama wapi tangu mlipoanza kuyataka hayo maridhiano?
 
*Mleta Uzi , unajua mna kshfa ya silaha?
*Mleta Uzi unajua chivayo kafa na kibubu ?
*Mleta Uzi watanzania mia 500 nani aliwaua?
*Mleta Uzi nchibi yupo wapi?
*Mleta Uzi kwa Nini watu wanatekwa?
*Mleta Uzi unajua kama Damu ya asie na hatia ni laana ?
*Hivyo wauji wote watakufa kama SISImizi?
 
HAWATAKI AMANI..HAWATAKI MARIDHIANO..WANATAKA VURUGU..

WANAHARAKATI wakiongozwa na CHADEMA wamejipa umuhimu sana kwenye hii nchi kiasi kwamba wanadhani Tanzania haiwezi kufanya jambo lolote bila wao kuwepo au wao kuhusishwa.

WANATAMANI sana kuona Tanzania inakuwa ni nchi ambayo kila siku iko kwenye mikingamo na haitawaliki na watu wako mabarabarani kila siku kuandamana na kuleta vurugu.. Yaani kwao hilo ndiyo lengo kuu kwa kuwa wameshindwa kufanya siasa zaidi ya kupayukapayuka tu majukwaani.

NDIYO maana wanapoisema nchi hii haina barabara hawajawahi kusema wao watafanyaje ili iwe na barabara.. Wanaposema hakuna hospitali hawajawahi kusema wao watafanyaje kuwa na hospitali kila mtaa au kila nyumba kumi zitakuwa na hospitali yao.. Hawajawahi kusema watafamnyaje kufanya nchi hii iwe vile wanavyopayukapayuka majukwaani..

NIMEMSIKIA kwa wiki nzima sasa PANYA BUKU Maria ambaye ni mshauri wao wa mambo ya siasa zao za kiuanaharakati akipayuka kuwa sijui baada ya kuhukumiwa kwa Chiba kutaanza mchakato wa maridhiano. Yaani nimemsoma nieshindwa kuelewa kama huyu mtu nimzima kichwani mwake au ni matatizo yake ya kila siku ya kutokuwa na akili.

KWA HIYO kama taifa linataka kurudhiana na kuleta watu pamoja na kuzungumza tofauti zao na kujenga taifa moja nalo hilo ni jambo hamtaki yaani? Au nyie huwa mnataka nini haswa pengine? Yaani lengo lenu hasa ni nini?

KWA HIYO nalo hilo ni kosa na mnaona kabisa kuwa hamtaki lifanyike yaani? Shida yenu nyie watu ni kuwa mlikaa mkajazana ujinga kuwa nchi hii hakuna kitu kinaweza kufanyika bila CHADEMA na hakuna kitu nikaweza kufanyika bila nyie kuhusishwa. Haya ndiyo madhara yake sasa ya kugeuza chama chenu kuwa kikundi cha kufanya harakati ndiyo maana mmefikia hatua kila watu wanachofanya kwenye maisha yao mnaona wanakosea kwa kuwa siyo mawzzo yenu.

NIMEMSIKIA Lema anakejeli tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva.. Sasa watu wasifanye mambo yao kisa siasa zenu? Kuna kipindi mlikuwa mnakashifu mambo ya mipira ya Yanga na Simba. Kwa hiyo mlitaka Yanga na Simba wasishabikie mambo yao ya mipira kisa hizo siasa zenu au? Huu sasa ndiyo wendawazimu na mmekuwa mnaishi nao kwa miaka mingi sana mkidhani nchi hii nyie ndiyo mnaamulia watu nini cha kufanya na nini wasifanye.

TANZANIA ni nchi na itaamua mambo yake kwa kuwepo au kutokuwepo kwa CHADEMA. Ndiyo maana mligomea uchaguzi na mkajidanganya kuwa hakuna uchaguzi utafanyika matokeo yake uchaguzi ulifanyika na sasa ni mwaka umepita nchi inasonga mbele na watu wanachanja mbuga kuelekea 2030..Nyie mko pake pale tu na mambo yenu ya No Reform No Election.. 😁

KUNA UJINGA mwingi sana mnajazana kuwa bila Chiba nchi hii haiwezi kutawalika. Haya sasa mmeshawahikujiuliza mmeshakaa jela muda gani na nchi bado inasonga mbele? Na wengi wenu mmeshamsahau mpaka kuna muda akija kwenye misala yake Mahakamani anasema watu hawa ni wachache sana hamasisheni wajae mahakamani..Na mtamsahau tu kama mlivyowasahau wengine waliokuwa miongoni mwenu !

HII nchi itasonga mbele tu hata bila ya CHADEMA na imeshafanya hivyo toka Oktoba 2025 lakini nyie bado mko palepale na ndoto za kuwa uchaguzi utarudiwa mara sijui serikali ya mpito iundwe mara sijui Rais ajiuzulu .. Yaani vichwani mwenu kumejaa makamasi mengi sana na mlivyo wajinga mnaaminisha watu wenu kabisa kuwa mambo haya yanawezekana na kweli uchaguzi utaitishwa upya!

TULIPOKUWA tunawakanya achaneni na wanaharakati na acheni kuwapa chama chenukuwa sehemu yao ya kufanya siasa hamkuwa mnaelewa na haya sasa ndiyo madhara yake na huu sasa ndiyo mwisho wa kufanya kwenu siasa.

MLISUSIA uchaguzi na ukafanyika.. Sasa hivi mnataka kususia maridhiano ambayo kwanza hamtaalikwa kwa kuwa nyie siyo sehemu ya watu wa kuridhiana nao,na bado nchi hii itasonga mbele na kupita kwenye hilo na ikifika 2030 hatutaki kusikia milio ya kuwa sijui hamna mgombea mara mmeibiwa kura na blah blah zingine kama ilivyo kawaida yenu.

ENDELEENI na ujinga wenu wa kudhani kuwa wanaharakati ni watu wa maana wa kufanya nao mambo yenu.
Kuna vyama kibao, mkiridhiana na hivyo vingine ikakosekana CHADEMA peke yake tatizo liko wapi? Kwanini mnalazimisha mpaka mridhiane na CHADEMA? How can one party ambacho hakina hata muwakilishi bungeni kiwahangaishe kama hivi mnavyohangaika?
 
Wewe hayawani maridhiano ya nini dhidi ya nani si mlitamba mlishinda kwa kishindo na mkasema nchi iko salama sasa kelele za maridhiano zinatoka wapi?
 
Kuna vyama kibao, mkiridhiana na hivyo vingine ikakosekana CHADEMA peke yake tatizo liko wapi? Kwanini mnalazimisha mpaka mridhiane na CHADEMA? How can one party ambacho hakina hata muwakilishi bungeni kiwahangaishe kama hivi mnavyohangaika?
Mkuu kuna mithali inasena muovu hukimbia hata asipokimbizwa hawa majambazi wa CCM ni waovu ndiyo maana wanahaha kila kuchwao
 
HAWATAKI AMANI..HAWATAKI MARIDHIANO..WANATAKA VURUGU..

WANAHARAKATI wakiongozwa na CHADEMA wamejipa umuhimu sana kwenye hii nchi kiasi kwamba wanadhani Tanzania haiwezi kufanya jambo lolote bila wao kuwepo au wao kuhusishwa.

WANATAMANI sana kuona Tanzania inakuwa ni nchi ambayo kila siku iko kwenye mikingamo na haitawaliki na watu wako mabarabarani kila siku kuandamana na kuleta vurugu.. Yaani kwao hilo ndiyo lengo kuu kwa kuwa wameshindwa kufanya siasa zaidi ya kupayukapayuka tu majukwaani.

NDIYO maana wanapoisema nchi hii haina barabara hawajawahi kusema wao watafanyaje ili iwe na barabara.. Wanaposema hakuna hospitali hawajawahi kusema wao watafanyaje kuwa na hospitali kila mtaa au kila nyumba kumi zitakuwa na hospitali yao.. Hawajawahi kusema watafamnyaje kufanya nchi hii iwe vile wanavyopayukapayuka majukwaani..

NIMEMSIKIA kwa wiki nzima sasa PANYA BUKU Maria ambaye ni mshauri wao wa mambo ya siasa zao za kiuanaharakati akipayuka kuwa sijui baada ya kuhukumiwa kwa Chiba kutaanza mchakato wa maridhiano. Yaani nimemsoma nieshindwa kuelewa kama huyu mtu nimzima kichwani mwake au ni matatizo yake ya kila siku ya kutokuwa na akili.

KWA HIYO kama taifa linataka kurudhiana na kuleta watu pamoja na kuzungumza tofauti zao na kujenga taifa moja nalo hilo ni jambo hamtaki yaani? Au nyie huwa mnataka nini haswa pengine? Yaani lengo lenu hasa ni nini?

KWA HIYO nalo hilo ni kosa na mnaona kabisa kuwa hamtaki lifanyike yaani? Shida yenu nyie watu ni kuwa mlikaa mkajazana ujinga kuwa nchi hii hakuna kitu kinaweza kufanyika bila CHADEMA na hakuna kitu nikaweza kufanyika bila nyie kuhusishwa. Haya ndiyo madhara yake sasa ya kugeuza chama chenu kuwa kikundi cha kufanya harakati ndiyo maana mmefikia hatua kila watu wanachofanya kwenye maisha yao mnaona wanakosea kwa kuwa siyo mawzzo yenu.

NIMEMSIKIA Lema anakejeli tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva.. Sasa watu wasifanye mambo yao kisa siasa zenu? Kuna kipindi mlikuwa mnakashifu mambo ya mipira ya Yanga na Simba. Kwa hiyo mlitaka Yanga na Simba wasishabikie mambo yao ya mipira kisa hizo siasa zenu au? Huu sasa ndiyo wendawazimu na mmekuwa mnaishi nao kwa miaka mingi sana mkidhani nchi hii nyie ndiyo mnaamulia watu nini cha kufanya na nini wasifanye.

TANZANIA ni nchi na itaamua mambo yake kwa kuwepo au kutokuwepo kwa CHADEMA. Ndiyo maana mligomea uchaguzi na mkajidanganya kuwa hakuna uchaguzi utafanyika matokeo yake uchaguzi ulifanyika na sasa ni mwaka umepita nchi inasonga mbele na watu wanachanja mbuga kuelekea 2030..Nyie mko pake pale tu na mambo yenu ya No Reform No Election.. 😁

KUNA UJINGA mwingi sana mnajazana kuwa bila Chiba nchi hii haiwezi kutawalika. Haya sasa mmeshawahikujiuliza mmeshakaa jela muda gani na nchi bado inasonga mbele? Na wengi wenu mmeshamsahau mpaka kuna muda akija kwenye misala yake Mahakamani anasema watu hawa ni wachache sana hamasisheni wajae mahakamani..Na mtamsahau tu kama mlivyowasahau wengine waliokuwa miongoni mwenu !

HII nchi itasonga mbele tu hata bila ya CHADEMA na imeshafanya hivyo toka Oktoba 2025 lakini nyie bado mko palepale na ndoto za kuwa uchaguzi utarudiwa mara sijui serikali ya mpito iundwe mara sijui Rais ajiuzulu .. Yaani vichwani mwenu kumejaa makamasi mengi sana na mlivyo wajinga mnaaminisha watu wenu kabisa kuwa mambo haya yanawezekana na kweli uchaguzi utaitishwa upya!

TULIPOKUWA tunawakanya achaneni na wanaharakati na acheni kuwapa chama chenukuwa sehemu yao ya kufanya siasa hamkuwa mnaelewa na haya sasa ndiyo madhara yake na huu sasa ndiyo mwisho wa kufanya kwenu siasa.

MLISUSIA uchaguzi na ukafanyika.. Sasa hivi mnataka kususia maridhiano ambayo kwanza hamtaalikwa kwa kuwa nyie siyo sehemu ya watu wa kuridhiana nao,na bado nchi hii itasonga mbele na kupita kwenye hilo na ikifika 2030 hatutaki kusikia milio ya kuwa sijui hamna mgombea mara mmeibiwa kura na blah blah zingine kama ilivyo kawaida yenu.

ENDELEENI na ujinga wenu wa kudhani kuwa wanaharakati ni watu wa maana wa kufanya nao mambo yenu.
Sawa walisusa mbona mnalazimisha maridhiano si mlishinda kwa kishindo mkaenda kuapishana porini huko shida iko wapi
 
Hatakiwi Samuya muuwaji
Haitakiwi CCM
Haitakiwi katiba ya mwaka 1977
Haitakiwi tume feki ya uchaguzi
Haitakiwi amani feki
Hayatakiwi maridhiano feki.
Tunataka samuya ashitakiwe kwa kupanga na kutekeleza mauaji ya kimbari.
Tunataka IGP na Mkuu wa majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa washitakiwe
 
naungana na wewe CDM ni chama kidogo kisichokuwa na umuhimu..ni vizuri mridhiane na na vyama vingine vikubwa kama CHAUMA na TLP
 
HAWATAKI AMANI..HAWATAKI MARIDHIANO..WANATAKA VURUGU..

WANAHARAKATI wakiongozwa na CHADEMA wamejipa umuhimu sana kwenye hii nchi kiasi kwamba wanadhani Tanzania haiwezi kufanya jambo lolote bila wao kuwepo au wao kuhusishwa.

WANATAMANI sana kuona Tanzania inakuwa ni nchi ambayo kila siku iko kwenye mikingamo na haitawaliki na watu wako mabarabarani kila siku kuandamana na kuleta vurugu.. Yaani kwao hilo ndiyo lengo kuu kwa kuwa wameshindwa kufanya siasa zaidi ya kupayukapayuka tu majukwaani.

NDIYO maana wanapoisema nchi hii haina barabara hawajawahi kusema wao watafanyaje ili iwe na barabara.. Wanaposema hakuna hospitali hawajawahi kusema wao watafanyaje kuwa na hospitali kila mtaa au kila nyumba kumi zitakuwa na hospitali yao.. Hawajawahi kusema watafamnyaje kufanya nchi hii iwe vile wanavyopayukapayuka majukwaani..

NIMEMSIKIA kwa wiki nzima sasa PANYA BUKU Maria ambaye ni mshauri wao wa mambo ya siasa zao za kiuanaharakati akipayuka kuwa sijui baada ya kuhukumiwa kwa Chiba kutaanza mchakato wa maridhiano. Yaani nimemsoma nieshindwa kuelewa kama huyu mtu nimzima kichwani mwake au ni matatizo yake ya kila siku ya kutokuwa na akili.

KWA HIYO kama taifa linataka kurudhiana na kuleta watu pamoja na kuzungumza tofauti zao na kujenga taifa moja nalo hilo ni jambo hamtaki yaani? Au nyie huwa mnataka nini haswa pengine? Yaani lengo lenu hasa ni nini?

KWA HIYO nalo hilo ni kosa na mnaona kabisa kuwa hamtaki lifanyike yaani? Shida yenu nyie watu ni kuwa mlikaa mkajazana ujinga kuwa nchi hii hakuna kitu kinaweza kufanyika bila CHADEMA na hakuna kitu nikaweza kufanyika bila nyie kuhusishwa. Haya ndiyo madhara yake sasa ya kugeuza chama chenu kuwa kikundi cha kufanya harakati ndiyo maana mmefikia hatua kila watu wanachofanya kwenye maisha yao mnaona wanakosea kwa kuwa siyo mawzzo yenu.

NIMEMSIKIA Lema anakejeli tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva.. Sasa watu wasifanye mambo yao kisa siasa zenu? Kuna kipindi mlikuwa mnakashifu mambo ya mipira ya Yanga na Simba. Kwa hiyo mlitaka Yanga na Simba wasishabikie mambo yao ya mipira kisa hizo siasa zenu au? Huu sasa ndiyo wendawazimu na mmekuwa mnaishi nao kwa miaka mingi sana mkidhani nchi hii nyie ndiyo mnaamulia watu nini cha kufanya na nini wasifanye.

TANZANIA ni nchi na itaamua mambo yake kwa kuwepo au kutokuwepo kwa CHADEMA. Ndiyo maana mligomea uchaguzi na mkajidanganya kuwa hakuna uchaguzi utafanyika matokeo yake uchaguzi ulifanyika na sasa ni mwaka umepita nchi inasonga mbele na watu wanachanja mbuga kuelekea 2030..Nyie mko pake pale tu na mambo yenu ya No Reform No Election.. 😁

KUNA UJINGA mwingi sana mnajazana kuwa bila Chiba nchi hii haiwezi kutawalika. Haya sasa mmeshawahikujiuliza mmeshakaa jela muda gani na nchi bado inasonga mbele? Na wengi wenu mmeshamsahau mpaka kuna muda akija kwenye misala yake Mahakamani anasema watu hawa ni wachache sana hamasisheni wajae mahakamani..Na mtamsahau tu kama mlivyowasahau wengine waliokuwa miongoni mwenu !

HII nchi itasonga mbele tu hata bila ya CHADEMA na imeshafanya hivyo toka Oktoba 2025 lakini nyie bado mko palepale na ndoto za kuwa uchaguzi utarudiwa mara sijui serikali ya mpito iundwe mara sijui Rais ajiuzulu .. Yaani vichwani mwenu kumejaa makamasi mengi sana na mlivyo wajinga mnaaminisha watu wenu kabisa kuwa mambo haya yanawezekana na kweli uchaguzi utaitishwa upya!

TULIPOKUWA tunawakanya achaneni na wanaharakati na acheni kuwapa chama chenukuwa sehemu yao ya kufanya siasa hamkuwa mnaelewa na haya sasa ndiyo madhara yake na huu sasa ndiyo mwisho wa kufanya kwenu siasa.

MLISUSIA uchaguzi na ukafanyika.. Sasa hivi mnataka kususia maridhiano ambayo kwanza hamtaalikwa kwa kuwa nyie siyo sehemu ya watu wa kuridhiana nao,na bado nchi hii itasonga mbele na kupita kwenye hilo na ikifika 2030 hatutaki kusikia milio ya kuwa sijui hamna mgombea mara mmeibiwa kura na blah blah zingine kama ilivyo kawaida yenu.

ENDELEENI na ujinga wenu wa kudhani kuwa wanaharakati ni watu wa maana wa kufanya nao mambo yenu.
Tunataka haki.
 
Back
Top Bottom