mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
Utaibiwa pesa zako bure!! Unaweza ukaletewa vitu tofauti na ulovyoagiza, Jamaa aliagiza viatu vya $2000 akaletewa zote za mguu mmoja. Uzuri ni kuwa na agent sehem husika eg, China, Singapore, Dubai etc,, wasiliana na mm baada ya mwaka mpya!!
sasa kwa mfano broo, mm ninayo visa card na master card, ninapo activate hyo visa card ni vigezo vip wanatumia kuchuku hela ktk a/c yangu kwa kiasi amabacho tumekubalana ktk bidhaa wakati mimi ndo mwenye a/c na namba za siri ninazo mm? hawawezi kuzidisha kiwango cha pesa na nitajuaje kama wameshachukua try ktk a/c?
mkuu chicco kama kwa wakati huu ninaishe sehemu fulani then after time nitahama je wanapokea mabadiliko ya address?? pia shipment ndani ya TZ inafanyika kwa njia gani??
nimekuelewa mkuu.sasa kwa mfano mimi sina sanduku la posta wala home hatuna hyo ktu. nitapaje njia ya wao kunitumia mzigo wangu?
Kaka eliasy umeuliza swali la msingi... kama huna anuani ya posta inakuaje wakuu? Hakuna njia nyingine?
nilijiunga paypal na kwenye kuweka card wakaniambia kuwa "this credit card by the bank that issued your credit card.for details on why your credit card was denied please,contact your credit card issuer's customer service department.or you may trywant adding a different credit card ...
Mkuu deogan Unahitaji simu ya aina gani wewe kununuwa? IkiwaMimi ningependa kununua simu nje ila wasiwasi wangu ni customs hapa tz,charges zao zinakuwaje i already have paypal n crdb acc
Kwa iyo mkuu kila ununuapo kitu ni lazima uende bank kuchukua code afu ujaze ndo malipo yafanyike?paypal account ni kama account nyingine ya benk but rol yake ni kulink account ambayo unadipozit pesa na sela.so info zote ni siri otherwise we umpe mtu details zako.hawa jamaa wako serious na ukiwasoma wanakuelekeza vizuri sehemu sahihi ya kutoa details zako.na kuhusu namba za siri huwapi zile za ATM unachofanya ni kujaza zile tarakimu 12 zilizoko kwenye visa card wao watazitumia kuwasiliana na watu wa visa kuthibitisha.paypal wako veri strictly mkuu na wanafanya kazi worldwide.uaminifu ni sifa yao kuu.kuhusu makato ya pesa,kwa mfano ukienda ebay unapochagua bidhaa kuna link inakwambia 'buy it now' ukiclick na kufuata procedures mwisho wa siku wanakuambia kiasi in trms of US dollars ukikubaliana nacho unaendelea.but remember transaction haiwezi kuendelea hadi uende benk kuchukua benk statement inayoonyesha transaction na kiasi kilichokatwa.kutakuwa na code yenye tarakimu nne ambayo utarudi kuijaza kwenye account yako ya paypal ili kuidhinisha transaction.unapewa siku saba tangu siku ulipofanya malipo online kuidhinisha kwa hiyo code otherwise order na transaction inakuwa canceled.make sure una kiasi cha kutosha benki kabla ya kununua kitu.
Mzizi mkavu, kuwatumia DHL gharama zao ni kubwa sana mara 3 ya kodi anayoogopa ndg deoganMkuu deogan Unahitaji simu ya aina gani wewe kununuwa? Ikiwa
utanunuwa simu na kulipa gharama zakusafirisha kwa mfano kwa njia ya haraka zaidi kuna mashirika mawili yanayoweza
kukuletea kitu chako nyumbani kwako kwa njia ya salama pasipo kupita kwa watu hao wezi wa customs charges Tanzania.
Mashirika haya hapa mawili moja linaitwa (D.H.L.) na Shirika lingine linaitwa (UPS) haya mkuu yanaweza kukuletea hiyo simu
yako kokote pale ulipo bila ya wasiwasi wowote ili mradi ulipe gharama za malipo yao usafirishaji wanayo yataka unasemaje? Kwa
mwenye kuhitaji kitu chochote online nje ya nchi wailiana na mimi kwa njia ya Email yangu hii fewgoodman@hotmail.com ninaweza kukusaidia.