nina jinsia zote.
Pole sana mkuu! Ugomvi wenu umeanza lini?, tatizo lilikuwa ni lipi?Hivi let say una mpenzi wako ambae mko mikoa tofauti,afu ikatokea mkazinguana kidogo hali ambayo ikapelekea mkanuniana..je nikitaka kuanza kujipendekeza kumsemesha,nitaingia na gia gani wakuu?
Mkuu usimuongezee mawazo mleta MadaSasa kama una jinsia zote si unajila mwnyw tu huhitaji mtu mwingine unachukua hasi unaingiza kwny chanya
nimecheka sanaUsiombe kununiwa na mchepuko!!?
nimecheka sana
umefurahishwa na nini shem!? Muulize Mzee atakupa uzoefu!
mwandikie sms jifanye umekosea "baby nakuja sasa hivi nina hamu na wewe"
uonee kitakachofuata......
Mkuu hii avatar yako naona mambo sio mabayaHahahahah.....
Kweli we mvunja ndoa kabisa
mwandikie sms jifanye umekosea "baby nakuja sasa hivi nina hamu na wewe"
uonee kitakachofuata......
mmmhh kununiana sio issue maisha yenyewe haya mafupi mno, kwa nini kujipa stress. Umenikosea nimekukosea nipe hapohapo makavu live tukiwa wenyewe lakini sio mbele ya kadamnasi, tukitoka hapo yameisha.
Jifanye unaumwa.
Mkuu Perry natoka nje ya kesi yako kidogo, ila tabia ya kununa nuna siipendi, huwa nashangaa sana mwanaume akiwa mtu wa kununa nuna. Kitu kidogo jitu limenuna