sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
bila kusahau umri wa mwalim
nachekaje hii thread jaman
gud,mwisho kiunoni
Ubunifu huo Heaven on Earth!Kila siku tunalalamika vyanzo vya mapato,mjasiriamali huyo!Vip yule mwl wako hakuwa maji ya kunde,mtundu,miaka 24,mrefu,mwenye hela,n.k?Hahahahaaaaaa,hii ndio JF
teh teh namuogopa wa hivyo aiseemwekundu maswali gani hayo?Kusoma hujui,hata kutazama picha?Umeishaambiwa akiridhika,mtaspend night pamoja!
Hii ndio karne mpya,kidigtali zaidi,unakaa home wateja wanakuja wenyewe!Ya nini kung'atwa na mbu Corner bar?
hahaaa nimekuja kushtuka teacher hana baadhi ya vigezo.........
inabidi awe analipia matangazo yake huyu mama sasa
thread IMEFUNGWA.
sio kweli...