Kunifundisha Kuogelea

Minisiejua kuogelea, ngoja nijipitie tu
 

Sifa zote nonazo ila nataka unihakikishie kama ile 'express yourself' itapatikana.
 
Marehemu umeshamsahau?tukutane oasis hotel kama upo moro
 
Nenda kaish na wavuvi, il uspend na0 ucku mzma, mkiwa w0te baharin mnazishusha nyavu
 
Nimependa vigezo ulivyotoa!
Hiyo rangi ya mwalimu ni catalyst ya mwanafunzi kuelewa haraka eee?
 
Ish, sasa we ndo unashida alafu mi ndo nigharamie....najua kuogelea sana ila huu utakua uchizi...kuingia pale Swimming UD buku 5,watu wawili 10k,tukifanya mazoezi wiki moja 50k,yote hii iwe juu yangu..ahahahah halafu we ndo una shida..i never thought kuna watu wana akili hizi hahahahaha
 

Sasa mbizi na Mwili wa mazoezi sijui mweupe unaingiliana vipi? Yaan siku hizi naona Wanaume wanatafutwa kwa kila namna aisee
 
Laiti ungejua kifanyikacho ndani ya maji usingettaman,nikikupeleka kina kirefu najilia papuchi hata kama bwanako yuko ufukweni akisubiria,but inaonekana ni fantasy yako so piga promo@freemarket
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…