Kunifundisha Kuogelea

Duh mama una mambo kama ndo style yako ya kupata mume hii wewe ni mkali asee, umeamua kumtaka mpiga mbizi

sijasema natafuta mme,nahtaji anaejua kuogelea anifundishe! ivo tu
 

Niliambiwa kuwa uyaone. Na kweli nayaona, Japo ni kwenye maandishi!
 
nenda katafute wavuvi wa Mwanza wakivua wanaimba au nenda Pemba sio Unguja Pemba au watafute Wakojani sifa Yao wanazomia bila vifaa chini Kabisa kuchokonoa Pweza kuhusu kuimba wao sijui ila wataalamu wakuzamia ila Mwanza Lake Victoria weka tangazo uone foleni.
 
Sawa sawa kabisa,welevu wameelewa na pm washaenda,na anaposema,''Gharama ni juu yako" maana yake ni "Ninauza"

Kwa kizazi hiki cha leo sishangai binti yako wa kidato cha kwanza kurudi nyumbani likizo na kukuomba umtafutie mwalimu wa physics mwenye sura nzuri, mwili wa mazoezi, na aliye single....Wenye wana akili kumkichwa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…