Kunguru wananinyea nyea, kulikoni?

Something is wrong mkuu .. Mie sio mtu wamambo yakiroho ila mmhhhh serious kuna kitu hakipo sawa

Sali sana utapata kufunguliwa.
 
Kasafishwe kaka; nuksi hilo linakujia.
 
Ingekuwa unanyewa na ndege ni bahati hao kunguru itakuwa mikosi
 
Hiyo ni dalili mbaya sana! You are about to die this year. Mtafute MshanaJr haraka
 
Ukiona hivyo ujue una kimavi..
Yaani ni mtu wa kupatwa na visirani sana
 
Mtafute ndugu [HASHTAG]#Mshana[/HASHTAG] jr
 
Kuna kitu wanakuonya ila wewe unakuwa huwaelewi inawezekana unakoenda ni hatari au hutafanikiwa hivyo wakikunyea geuza haraka urudi nyumbani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…