Kunguru wananinyea nyea, kulikoni?

Kwani ana bifu na nani? Yamkute hayo.
 
Tena kinavyo nuka hicho kinyes [emoji1] [emoji1] [emoji1] nunua gali upes
 
[emoji4] Nahisi una nyota ya udaktari wa minyoo, karibuni utavumbua minyoo iliyopo kwenye mavi ya kunguru. Yenye kufaa kutengenezewa tambi za asili bila ngano.

Hujashtuka tu, Kunguru huyo anakulazimisha uchukue sampuli yake ukaweke historia ya uvumbuzi. Humwelewi ndiyo maana anakunyea
 
KUNA ndege wakikunyea ni ISHARA ya BAHATI au jambo jema linakuja mbele yako ila sio kwa KUNGURU,....HUO MKOSI ndugu
 
KAMA UMEWAHI KUWANYANYASA KWA KUWAPIGA WANA KUMBUKUMBU KALI. KILA UTAKAPIPITA WANAKUFAHAMU NA WANAKUFANYIZIA. KUNA ISHARA WANAITANA NA MMOJA ANAKUWA ANAKULNGA UONDOKE. CHUNGUZA HILI HUWA HAMSAHAU MTU AU LABDA KUNA MNYANYASAJI WAO MBAFANANA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna kitu....basi tu
 
kaoge mtoni mara saba mkuu
 
Amekuwa conditioned na uwepo/upitapo wewe anabanwa vima!...anaachia kitu!

Kwa sababu unapita muda ule ule hivyo ana associate uwepo wake na muda wa kufyatua tofali!

Acha imani za ajabu za kuwa unalogwa au labda unanyota ya choo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…