Kunguru na nguo za kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunguru na nguo za kike

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Likasu, Apr 12, 2011.

 1. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Kunguru wanalalamikiwa sana kwa kunyakua vitu ovyo. Lakini linapokuja swala la nguo wananyakua mno nguo za ndani za kike hasa chup*. Sasa wadau nielimisheni kuna uhusiano gani kati ya kunguru na chup* za kike ? Nawasilisha.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Kwanza wanawake wanakawaida ya kua na chupi nyingi kuliko wanaume,na hivyo wanapofua wanazianika nje,...sometime bila umakini/zinazagaa kwenye kamba au kwenye majan na hivyo kunguru huzipata kirahisi
   
 3. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Teeh teeh wanapenda ile harufu za sehemu zinazo fichwa
   
 4. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Huo uchokozi. Unataka ugomvi na kinadada.
   
 5. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  pointi:bored:
   
 6. k

  kyerwa Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaume wanazo chache na wanawake wanazo nyingi hivyo kunguru wtaiba zilizonyingi
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  nakumbuka siku moja waliangusha uwani kwangu bonge la mchupi wa kiume una makimba yaliyofanya kuganda kabisa....ndo maana hawabebi za kiume:help:
   
 8. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Ha ha haaaa, mkuu ina maana kunguru wengi ni wa kiume au?? :lol::lol::lol:
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kunguru wanapenda uchafu

  now go figure....
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaah!!!
   
 11. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi ni chupi zipi huchafuka zaidi, za kiume au za kike?
  Sitaki ushabiki leteni hoja zenye proof
   
 12. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Mmmmmmmmmmmmmmmmhh
   
 13. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Wadau leteni proof basi.
   
 14. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,177
  Likes Received: 1,180
  Trophy Points: 280
  yoyote huchafuka zaidi kama mwenye nayo hatoisafisha.
   
 15. Capitano

  Capitano JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  msikwepe
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  boys they will always be boys ..
   
 17. A

  Africana Jr. Senior Member

  #17
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wanaotembea nazo kwa wingi kwenye vibegi wajibu niyapi huwa machafu zaidi yaani zao ama za waume zao? Kunguru wa Zenj noma mpaka kodi zetu zinanza kutumika katika kuwamaliza!!
   
Loading...